ungejua mkewe alivyowekwa ndani masaa 7,ndio utajua huyu mzee wa 5 hataniwi,mzee wa 2 ndio alienda kupiga goti juu ya hii inshu,mzee wa 4 aligoma kwenda kuongea na mzee 5 baada ya kuona itakuwa noma na kashfa,ila yamemezwa kimya kimya na hakuna alojaribu kuripoti chochote....Hili litapita mana hili kampuni ni la aliyemtangulia
Tunatafuta hela za kumlipa shigongoNi hao hao ma-CCM tu!
Kubwa la maadui liko huku kikeni Ukawa na mlimpa mpaka nafasi ya UraisMkuu kweli! Maccm ndio yanafisadi hii nchi
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa na kitengo cha "Fast Team" cha TRA zikiwa na bidhaa mbalimbali za vipuri vya magari, viatu vya ngozi na nguo za kifahari...
Hivi bado watu wanaendelea na hii michezo?? Hawaoni juhudi za Rais wetu na namna alivyo serious na mapato hasa bandarini?
Ipo kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu katika kuyakabili mambo kama haya.. Waliohusika waadhibiwe tu..maana hakuna namna!
Naitazimwa kimya kimya labda yangekuwa ya mbowe ndo ungeona tunavyodili na ufisadiNi hao hao ma-CCM tu!
Kubwa la maadui liko huku kikeni Ukawa na mlimpa mpaka nafasi ya Urais
ungejua mkewe alivyowekwa ndani masaa 7,ndio utajua huyu mzee wa 5 hataniwi,mzee wa 2 ndio alienda kupiga goti juu ya hii inshu,mzee wa 4 aligoma kwenda kuongea na mzee 5 baada ya kuona itakuwa noma na kashfa,ila yamemezwa kimya kimya na hakuna alojaribu kuripoti chochote....
mi nimemuelewa kwamba yule ubavu wa pili wa 4 alikuwa ni lida wa tasisi ya MA<>WA sasa makontena yake hii tasisi mwanzo yalikuwa yanapita bure sasa kipindi hiki yakawa yamepigwa stop mpaka yalipiwe na huyu j5.Msaada kwenye tuta!!! Mke aliyewekwa ndani ni yupi hapoo ?? Maana uneniacha kidogo
Sikiliza Akili Matope tupu,Sisi wengine hatujakuelewa. Kama Tanzania ni ya wapiga dili, ndiyo maana hawahitaji transparency na matangazo live? Akili matope tupu.
Hao mkuu tutaumiza kichwa bure, ni "untouchables". Kama ni kweli ndio wamehusika, hatuto zisikia sarakasi za faru John kwenye hili, litazimwa kama ishu ya LugumiNi GSM hapo hakuna kesi,pia habari ya huyu bwana haieleweki.Yamenaswa wapi?wakati TRA ndiyo wanaothaminisha mzigo?jee hayakulipiwa kodi?
Hiyo Silent .... inamilikiwa na nani?Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa na kitengo cha "Fast Team" cha TRA zikiwa na bidhaa mbalimbali za vipuri vya magari, viatu vya ngozi na nguo za kifahari...
Hivi bado watu wanaendelea na hii michezo?? Hawaoni juhudi za Rais wetu na namna alivyo serious na mapato hasa bandarini?
Ipo kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu katika kuyakabili mambo kama haya.. Waliohusika waadhibiwe tu..maana hakuna namna!
Hata tukimuunga mkono Mkuu anachagua majipu ya kutumbua. Hili jipu haliwezi ni sawa na Lugumi trust me!Nakubaliana na wewe tumuunge mkono raisi katika mambo mazuri kama kupambana na ufisadi lakini tumkosoe pia anapochezea katiba na sheria za nchi
Ikitokea ni Mwanachadema, usiseme kwa sababu ni mpinzani.Ni hao hao ma-CCM tu!
Sikiliza Akili Matope tupu,
Sijaamanisha hicho ulichokiandika, nakueleza kuwa Madai ya kuwa kukosekana kwa transparency katika awamu hii kumeongeza rushwa si ya kweli, mbona katika awamu iliyopita mliyozoea kumtukana mkulu kama mlivyotaka bado rushwa,wizi na dili bado vilikuwa juu sana!, hivyo hiyo siyo hoja sana, Kimsingi sisi Watanzania(na mimi mmojawapo) tunapenda sana maisha ya dili dili, Awamu hii kidogo inajitahidi kupambana na rushwa, lakini si unaona ugumu uliopo toka kwa wananchi, malalamiko kila kona kwanini? kwasababu ya mfumo wa maisha tuliyozoea, ndiyo maana si ajabu unapokutana na watetezi wa wezi, watu wanaowaona wezi kama mashujaa, ndiyo jamii yetu ilipofikia, Tunawasifia na kuwaona mashujaa watu walioiibia serikali.
Nafikiri kidogo umenielewa Akili Matope tupu.
What Transparency do you want from the government? Political transparency, is nonsense.Ufisadi unachipua sana awamu hii kwa sababu ya kuondoa transparency