Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

CHADEMA wanachosahau ni kuwa Tuhuma za kumuita Lowassa Fisadi hazijatoka CCM zimetoka kwao CDM. sasa Lowassa anaposimama kudai walete ushahidi ni maigizo ya hali ya juu.

Siku zote wanaojisifu kwa kufichua ufisadi ni Upinzani, wakiongozwa na Dr.Slaa, kashfa nyingi CCM huwa inakataa uwepo wake na kuzitetea..,

kwa hali inakoelekea Rugemalila akipenyeza bilioni kadhaa Ufipa, utetezi wa Escrow unanza upyaa!!!! na watu tutadaiwa ushahidi au tu-shutup.,wakati tuhuma zimetoka humo humo UKAWA.

Hivi hawa viongozi wenu wa JUU wa ukawa bongo zao zimekaa vizuri????

Huyu Lowassa anayedai ushahidi nje ya UKAWA akili yake imekaa vizuri?amesahau hata aliyemuita fisadi ni nani?

nimekereka na kiwango ambacho hawa kina mbowe na wenzao wanadhania watanzania ni wapuuzi..,

Whatever circus that goes on in Lowassa- UKAWA fiasco,hatakiwi kuomba ushahidi wa ufisadi wake kokote kule kwani CCM has nothing to do with it kwa sababu wao hawakumuita Lowassa Fisadi kabla ya CDM kumnuita, Hata mie ningekuwa JK ningejitetea kuwa huyu mtu nimemkata kwa kuwa alikuwa na TUHUMA nyingi,tuhuma zikiongozwa na nyie UKAWA.simple and clear..,
Mkuu,
Nadhani labda ndiyo maana Dr. Slaa hakuhudhuria kwenye mkutano labda alifahamu kitakachoulizwa na kujibiwa!

Yaani viongozi wa CHADEMA wanaambiwa kimantiki to shut up or go to court kwa kumuita Lowassa ni fisadi halafu wanashangilia!

Yaani viongozi wa CHADEMA kwa sasa wamegeuka kuwa wana CCM. Wanawaomba wanaCCM ushahidi wa ufisadi wa Lowassa wakati waanzilishi wa shutuma ni CHADEMA.

Huu ni unafiki wa kiwangio cha juu!

Siasa za Tanzania niza ajabu kweli.
 
CLBLq4HWwAAVerJ.jpg
 
CHADEMA wanachosahau ni kuwa Tuhuma za kumuita Lowassa Fisadi hazijatoka CCM zimetoka kwao CDM. sasa Lowassa anaposimama kudai walete ushahidi ni maigizo ya hali ya juu.

Siku zote wanaojisifu kwa kufichua ufisadi ni Upinzani, wakiongozwa na Dr.Slaa, kashfa nyingi CCM huwa inakataa uwepo wake na kuzitetea..,

kwa hali inakoelekea Rugemalila akipenyeza bilioni kadhaa Ufipa, utetezi wa Escrow unanza upyaa!!!! na watu tutadaiwa ushahidi au tu-shutup.,wakati tuhuma zimetoka humo humo UKAWA.

Hivi hawa viongozi wenu wa JUU wa ukawa bongo zao zimekaa vizuri????

Huyu Lowassa anayedai ushahidi nje ya UKAWA akili yake imekaa vizuri?amesahau hata aliyemuita fisadi ni nani?

nimekereka na kiwango ambacho hawa kina mbowe na wenzao wanadhania watanzania ni wapuuzi..,

Whatever circus that goes on in Lowassa- UKAWA fiasco,hatakiwi kuomba ushahidi wa ufisadi wake kokote kule kwani CCM has nothing to do with it kwa sababu wao hawakumuita Lowassa Fisadi kabla ya CDM kumnuita, Hata mie ningekuwa JK ningejitetea kuwa huyu mtu nimemkata kwa kuwa alikuwa na TUHUMA nyingi,tuhuma zikiongozwa na nyie UKAWA.simple and clear..,
Nimecheka sana Lowassa anawambia CCM walete ushahidi wa ufisadi wakati waliosema Lowassa ni fisadi ni Dr.Slaa, Mnyika, Lema.
 
Umemsahau yule kasuku wenu wa uenezi...
 
Utajiri wa ghafla Home shopping centre,Lake Oil,Davids Mosha,TSN supermarkets ndiyo
Matokeo yake hayo
 
Nimecheka sana Lowassa anawambia CCM walete ushahidi wa ufisadi wakati waliosema Lowassa ni fisadi ni Dr.Slaa, Mnyika, Lema.
Hahahahaa. Yaani hata nami nimeachwa kinywa wazi. Kisichofahamika ni kuwa huyu mtu hajawa sawa kichwani kutokana na dhoruba ya dodoma. Alipaswa amuulize Lema na Dr. Slaa ndio wenye video za youtube kumwambia Lowasa fisadi. Sasa....dah! Habari nzito hizi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame

huyu mzee presha inamuondoa ila sio mbaya next tym mapato wahusike kwa watu kama hawa wanaotumia pesa zisizo na hesabu zinazo eleweka ama kutaka kuumizia watu! Green snake in a green grasses MBONA WENGINE HAWATUMII NGUVU KUINGIA IKULU? darasani mpo wanafunzi kadhaa na mmesoma kitu kimoja na mtihani ni mmoja ss kuna wanao honga kabla hata ya kuona mtihani na kuna wanaoona mtihani wanajipima wakishindwa wanahonga ila HUYU LOWASSA SIJUI YUPO KUNDI GANI. CHADEMA CHUKUENI HIZO PESA HAZINA KAZI MBADILISHIE MA V8 YENU
 
Ni kweli tuna haki watanzania kulaumu alikuwa wapi kuyasema kama alikuwa akituhurumia watanzania lakini pia tunahaki ya kuhoji kwanini serikali haikuchua hatua ya kumshitaki alipotuhumiwa kama fisadi? Hapo pia akili ya kuambiwa changanya na zako.

kwakua wote ni kampuni mmoja ila ajabu watanzania wanashangaza kusahau haya na kuanza kupigia jaramba member wa board of directors wa kampuni iliyowafikisha kwenye haya yote; pathetic!
 
Hahahahaa. Yaani hata nami nimeachwa kinywa wazi. Kisichofahamika ni kuwa huyu mtu hajawa sawa kichwani kutokana na dhoruba ya dodoma. Alipaswa amuulize Lema na Dr. Slaa ndio wenye video za youtube kumwambia Lowasa fisadi. Sasa....dah! Habari nzito hizi.
Halafu cha kuchekesha Lowassa alivyokuwa anayaesema hayo Chadema wanashangilia.
 
Kama wiziri mkuu ambae ndie mtendaji mkuu wa shughuli za serikali kwa mini hajaachia madaraka ili kujiweka safi, au hakuwaza kuingia ikulu hapo kabla?!.
 
Ukweli haufichiki kamwe, sasa tumemjua mchawi nani. Na Lowasa kaweka wazi tu, toka andoke mbona mikataba mingi mibovu imesainiwa na hakuna mkubwa kama yeye aliejiuzulu au ni kivuli chake ndo kilisaini? Naamini hapa ni mwanzo tu ngoja angie ikulu tuyajue mengi.

Unasubiri mpaka aingie ikulu. Je, asipoingia?
 
Baada ya mheshimiwa Lowasa kueleza ukweli kuhusu scandal hii ya richmond jk anapaswa atuambie ni kwanini aliruhusu mkataba wa kifisadi wa Richmond uendelee ilihali akijua ni wizi wa fedha za umma wa maskini watanzania ambao leo hii hawana hata madawati kwa ajili ya watoto wao mashuleni achilia mbali huduma mbovu za afya.
 
Richmond, Escrow na madudu mengine mengi majibu anayo! Kumbuka aliwahi kua waziri wa nishati, yaliyotokea si bahati mbaya na majibu hatotoa na hamtomfanya chochote japo wengi wenu mnadhani JK ni Mikhail Gorbachev wa Ccm!
 
haya sasa matumbo joto
 
Attachments

  • 1438113599495.jpg
    1438113599495.jpg
    23.3 KB · Views: 1,710
Back
Top Bottom