CHADEMA wanachosahau ni kuwa Tuhuma za kumuita Lowassa Fisadi hazijatoka CCM zimetoka kwao CDM. sasa Lowassa anaposimama kudai walete ushahidi ni maigizo ya hali ya juu.
Siku zote wanaojisifu kwa kufichua ufisadi ni Upinzani, wakiongozwa na Dr.Slaa, kashfa nyingi CCM huwa inakataa uwepo wake na kuzitetea..,
kwa hali inakoelekea Rugemalila akipenyeza bilioni kadhaa Ufipa, utetezi wa Escrow unanza upyaa!!!! na watu tutadaiwa ushahidi au tu-shutup.,wakati tuhuma zimetoka humo humo UKAWA.
Hivi hawa viongozi wenu wa JUU wa ukawa bongo zao zimekaa vizuri????
Huyu Lowassa anayedai ushahidi nje ya UKAWA akili yake imekaa vizuri?amesahau hata aliyemuita fisadi ni nani?
nimekereka na kiwango ambacho hawa kina mbowe na wenzao wanadhania watanzania ni wapuuzi..,
Whatever circus that goes on in Lowassa- UKAWA fiasco,hatakiwi kuomba ushahidi wa ufisadi wake kokote kule kwani CCM has nothing to do with it kwa sababu wao hawakumuita Lowassa Fisadi kabla ya CDM kumnuita, Hata mie ningekuwa JK ningejitetea kuwa huyu mtu nimemkata kwa kuwa alikuwa na TUHUMA nyingi,tuhuma zikiongozwa na nyie UKAWA.simple and clear..,