Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Kwanini ripoti nyingi za ripoti za bunge zinazohusu maswala ya ufisadi kuna kipengele kinasema kuna vitu vikiwekwa hadharani nchi itatikisika? Ripoti ya Richmond na Escrow zinasema hivyo. Nani huyo akiguswa nchi itatikisika?
Sasa hivi watu wakimuona JK watakuwa wanaona SI Unit ya Ufisadi nchini.

ha ha ha hapo kwenye SI unit ni shidaaa.
 
11221345_742060975904529_1389171789283824097_n.jpg

Mie kilichonivutia sio hiyo habari
Bali ni hiyo TV yako mkuu
 
CHADEMA wanachosahau ni kuwa Tuhuma za kumuita Lowassa Fisadi hazijatoka CCM zimetoka kwao CDM. sasa Lowassa anaposimama kudai walete ushahidi ni maigizo ya hali ya juu.

Siku zote wanaojisifu kwa kufichua ufisadi ni Upinzani, wakiongozwa na Dr.Slaa, kashfa nyingi CCM huwa inakataa uwepo wake na kuzitetea..,

kwa hali inakoelekea Rugemalila akipenyeza bilioni kadhaa Ufipa, utetezi wa Escrow unanza upyaa!!!! na watu tutadaiwa ushahidi au tu-shutup.,wakati tuhuma zimetoka humo humo UKAWA.

Hivi hawa viongozi wenu wa JUU wa ukawa bongo zao zimekaa vizuri????


Huyu Lowassa anayedai ushahidi nje ya UKAWA akili yake imekaa vizuri?amesahau hata aliyemuita fisadi ni nani?

nimekereka na kiwango ambacho hawa kina mbowe na wenzao wanadhania watanzania ni wapuuzi..,


Whatever circus that goes on in Lowassa- UKAWA fiasco,hatakiwi kuomba ushahidi wa ufisadi wake kokote kule kwani CCM has nothing to do with it kwa sababu wao hawakumuita Lowassa Fisadi kabla ya CDM kumnuita, Hata mie ningekuwa JK ningejitetea kuwa huyu mtu nimemkata kwa kuwa alikuwa na TUHUMA nyingi,tuhuma zikiongozwa na nyie UKAWA.simple and clear..,

Ndani ya week moja mtu akiwa makini atagundua akili za ki Afrika alizozingumzia Botha, count in yourself
 
Kwanini ripoti nyingi za ripoti za bunge zinazohusu maswala ya ufisadi kuna kipengele kinasema kuna vitu vikiwekwa hadharani nchi itatikisika? Ripoti ya Richmond na Escrow zinasema hivyo. Nani huyo akiguswa nchi itatikisika?
Sasa hivi watu wakimuona JK watakuwa wanaona SI Unit ya Ufisadi nchini.

Mnanichekesha usiku usiku. Mkuu wa kaya kakalia jipu bichi. Hili lazima litumbukie kwenye boxer.
 
Mm anenifurahisha mbowe alipo sema chadema sio mahakama kwahiyo hawawezi kumtia hatiani luwasa
 
Kwanini ripoti nyingi za ripoti za bunge zinazohusu maswala ya ufisadi kuna kipengele kinasema kuna vitu vikiwekwa hadharani nchi itatikisika? Ripoti ya Richmond na Escrow zinasema hivyo. Nani huyo akiguswa nchi itatikisika?
Sasa hivi watu wakimuona JK watakuwa wanaona SI Unit ya Ufisadi nchini.

Hahahaaaa hapooooooo kwenye SI UNIT ya ufisadi umeuaaaaa ni JOKELI JK
 
Lowassa: Nilipeleka documents kuwa kampuni ya Richmond haikuwa halali. Hizo documents nilizipeleka kwa mwanasheria mkuu Johnson Mwanyika. Lakini baada ya siku tano nilipoona mwanasheria mkuu hatekelezi niliamua kuitisha kikao kilichoongozwa na katibu mkuu kiongozi pamoja na makatibu wakuu wahusika akiwemo mwanasheria mkuu. Tuliongea mengi ila mwanasheria mkuu akaomba pumziko la masaa mawili. Alitoka nje kuongea na simu na aliporudi ndani akasema kuwa mamlaka ya juu imeagiza kuwa Richmond ni halali na kila kitu kiendelee kama ilivyokuwa. Mimi Lowassa ningeongea tena nini?
ina maana yeye aliamini mojamoja kwa moja maneno hayo?? kua mamlaka za juu zimeagiza yeye km wazirimkuu aliuliza hzo mamlaka za juu ili kujirizisha ama alimuamini tu katibu?? lowasa huna akili mzee wangu pole sana utakufa kifo kibaya sana.
 
Hivi dereva wa hilo tinga tinga ni nani?
mkuu, dereva wa hilo tingatinga ni babu wa loliondo. masaa machache tu yaliyopita tingatinga amepata magoli 2 wakati edo kapata goli 12. mioyo ya wato wote imehama, sipati picha baada ya mwezi mmoja au kampeni zikianza itakuwaje.
 
Ukweli haufichiki kamwe, sasa tumemjua mchawi nani. Na Lowasa kaweka wazi tu, toka andoke mbona mikataba mingi mibovu imesainiwa na hakuna mkubwa kama yeye aliejiuzulu au ni kivuli chake ndo kilisaini? Naamini hapa ni mwanzo tu ngoja angie ikulu tuyajue mengi.
weka akiba ya maneno mtoto,na usiwaamini wanasiasa.
 
Heri yeye kasema japo too late, kuliko wale waliopiga kimya na wanaendelea kututafuna taratibu... asingeongea leo wangekufa na hizi siri wakazikwa nazo makaburini

watanzania tujifunze sasa, siasa sio timu za mpira, safari hii ukinipa kofia, tisheti, kanga na chupa za chai nachukua na kura yangu hupati unless uniambie hela za kuninunulia hizo accessories umepata wapi na utarudishaje na kwanini usizitumie kuchangia kuchimba kisima cha maji mtaani kwetu

chenye harufu ya panya, muonekano wa panya, mwendo wa panya ni panya
 
kingunge aliwaonya...mkimkata patachimbika sasa hawakuliona hilo akina nepi na mangula wake. ndo panaanza kuchimbika. maana ukiona paka mkuu anavuliwa nguo hadharani jua kazaraulika na yote tuta yapata mpaka ya escrow. sipati picha siku jk anamkabidhi nchi el......itakuwa aibu sana kwake na fedheha
 
Annony said:
BBC Swahili wameuliza je tunachukuliaje suala la Mheshimiwa Edward Lowasa kuhama chama cha CCM na kwenda CHADEMA? Mdau mmoja akajibu haya yafuatayo!
"wakati fedha za Mkonge kupitia mfanyabiashara aitwaye CHAVDA zinaibiwa Lowassa alikuwa waziri mkuu? Alikuwa malecela!. - Madini ya dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa ndege wakati wa Rais Mwinyi yalikuwa ni madini ya Lowassa? - Wakati Akasha wa dawa za kulevya anakamatwa na kutoroshwa aliyehusika ni Lowassa? Waziri Mkuu alikuwa Malecela. - Mrema alipolipua bomu la mwenyekiti wa CCM kuhongwa milioni 900 za minofu ya samaki alikuwa ni Lowassa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye . - Kashfa ya sukari alikuwa ni Lowasa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye. - Kashfa ya Loliondo gate 1992 ya mtoto wa mfalme wa Kuwait alikuwa ni Lowassa? Kinana na Abubakar Mgumia walihusika. - Wanyama hai kutoroshwa nje ya nchi alikuwa Lowassa? Waziri mkuu Pinda. - EPA aliyeidhinisha fedha zichukuliwe alikuwa Lowassa? Mkapa na Mangula wanajua. - NBC Bank kuuzwa alikuwa Lowasa? Mkapa na Sumaye wanahusika. - Kiwira alikuwa Lowassa? Mkapa na Sumaye wanahusika. - Rada na ndege ya rais alikuwa Lowassa? Mkapa, Chenge na Dr. Rashid walihusika. - Mkataba wa Buzwagi alikuwa Lowassa? Karamagi,Kikwete na Mwakapugi walihusika. - Stimulus package ya wakulima wa pamba baada ya Mdororo wa uchumi duniani alikuwa Lowassa? Kigwangala na Kikwete wanajua. - Fedha za Bunge la Katiba zilizobaki baada ya UKAWA kususia Bunge hilo bilioni 3.87 alizichukuwa Lowasa? Sitta, Samia suluhu wanahusika. -Bilioni 250 zilizolipwa wakandarasi hewa wa ujenzi wa barabara alikuwa Lowassa? Magufuri na Tizeba wanahusika. - TTCL Kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa Celtel alikuwa ni Lowassa? Mwandosya analo jibu. - Mabehewa mitumba zilizonunuliwa alikuwa ni Lowassa? Mwakyembe anahusika. - Kashfa za pembejeo za wakulima alikuwa ni Lowassa? Wassira na Pinda wanahusika. - Fedha za Gadaffi alikuwa ni Lowassa? Alikuwa ni Membe. - Ununuzi wa nyumba ya Ubalozi wa Tanzania Italia alikuwa ni Lowassa? Kikwete na Mahalu wanahusika. - Escrow tegeta account alikuwa ni Lowassa? Kikwete, Muhongo, Maswi, Albert Marwa wanahusika. - Mradi wa malaria no more alikuwa ni Lowassa? January Makamba mhusika.
.

makubwa
 
hoja nyepesi sana unatoa. huwezi tumia hoja hizi kukanusha kwamba mamlaka za juu hazikuhusika.

Huyo Ng'wamalalala ni kada wa CCM kindakindaki, humuwezi mkuu!

Kuna watu katika serikali ya JK walishasema kufanya kazi na huyo jamaa inahitaji moyo.

Na hata Pinda Mizengo hapo alipo anatamani ikiwezekana uchaguzi ufanyike hata kesho tu ili mzee wa watu ajipatie mafao yake akapumzike hukooo kijijini kwake ili aendelee na ufugaji wa nyuki wake kwa sbb kufanya kazi na Mkwere yahitaji moyo.

Unakumbuka sakata la Jairo Pinda alivyopata taabu bungeni wakati jamaa (JK) yuko ughaibuni anakula good time tu na kuagiza kwa simu tu kwamba baadhi ya maafisa wa wizara ya nishati na madini wasimamishwe, isipokuwaJairo asubiriwe yeye hadi atakaporudi?
 
Back
Top Bottom