Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Naam, umenena vyema sana.

Lakini nnakuhakikishia Watanzania wengi wamesha mdharau. Wameshajuwa hana akitakacho zaidi ya madaraka na uwezo wa kuongoza kwa sasa hana.

Mimi nimemdharau zaidi Mbowe kwa kubadilika ghafla na kwa haraka zaidi ya kinyonga!

mimi huwa siamini kama Faizer ni mtu nahisi ni jini la baharini nasikia na yenyewe yanakujaga huku nchi kavu yanaishi kama sisi.
 

sawa sawa sasa in lipi? linalowauma.
 
Dr. Msabaha alimnyoshea kidole ENL na pia alisema alikuwa anapokea vimemo kutoka OWM..ambayo ni ofisi yake! Kama kweli simu ndiyo ilibadilisha msimamo wake yeye kama mshauri wa Rais kwa nini hakuomba kikao kiahirishwe ashauriane na JK.?? Lets stop this cheap argument.. we dont want to continue to be "Wadanganyika" anymore! Ametumia haki yake ya kidemokrasia kuamia chama kingine. katuachia jimbo la Monduli .. wenye uwezo wa kuongoza waingie kilingeni. Bado kuna kikwazo cha kuwa mgombea kupitia Chadema kwa sababu sheria za uchaguzi zinasimamiwa na Tume na za Vyama vya siasa na Msajili wa Vyama. Tuone nani atalalia wapi! Good Luck Lowasa lakini usiwe kama mtu aliyempa maneno matamu mkewe kwamba oo ni wewe sili silai.. akikutosa unaanza kumchafua oo ananuka hajui kuoga, majamboz hayanogi...!Mbona hukusema miaka yote!! live to your greying hair man! Kama unaweza kuandika historia ya former Pm kuwa rais in TZ good luck . Nachelea uliyoshindwa kufanya miaka yote 35 ya uongozi wako unaona utayaweza sasa? Na hizo pesa zako zina maswali mengi kuliko majibu unayotoa. Siasa ni karata ambazo hata garasa huweza kufunga mchezo japo haijawahi tokea TZ..
 
Njia ya muongo ni fupi na sasa ni dhahiri ndugu Lowasa anaudanganya uma wa watanzania usio juwa kaz za waziri mkuu
Najua unataka watu wasome hii kitu yako, lakini haina mashiko! Funguka, ainisha huo uongo,weka ukweli wake, utaonekana wa maana! Kama vipi PIGA KIMYA! huna hoja!
 
mimi huwa siamini kama Faizer ni mtu nahisi ni jini la baharini nasikia na yenyewe yanakujaga huku nchi kavu yanaishi kama sisi.

Ukitaka nikutokee chukuwa chetezo tia ubani, ita jina langu mara tatu, nnakutokea live.

Kichwa chako.
 

I guess am convinced to say thank you for your utmost stupid comment i have ever seen. Thanks for your efforts anyway.
 
Je, wakati fedha za Mkonge kupitia mfanyabiashara aitwaye CHAVDA zinaibiwa Lowassa alikuwa waziri mkuu? Alikuwa malecela!. - Madini ya dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa ndege wakati wa Rais Mwinyi yalikuwa ni madini ya Lowassa? - Wakati Akasha wa dawa za kulevya anakamatwa na kutoroshwa aliyehusika ni Lowassa? Waziri Mkuu alikuwa Malecela. - Mrema alipolipua bomu la mwenyekiti wa CCM kuhongwa milioni 900 za minofu ya samaki alikuwa ni Lowassa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye . - Kashfa ya sukari alikuwa ni Lowasa? Waziri mkuu alikuwa Sumaye. - Kashfa ya Loliondo gate 1992 ya mtoto wa mfalme wa Kuwait alikuwa ni Lowassa? Kinana na Abubakar Mgumia walihusika. - Wanyama hai kutoroshwa nje ya nchi alikuwa Lowassa? Waziri mkuu Pinda. - EPA aliyeidhinisha fedha zichukuliwe alikuwa Lowassa? Mkapa na Mangula wanajua. - NBC Bank kuuzwa alikuwa Lowasa? Mkapa na Sumaye wanahusika. - Kiwira alikuwa Lowassa? Mkapa na Sumaye wanahusika. - Rada na ndege ya rais alikuwa Lowassa? Mkapa, Chenge na Dr. Rashid walihusika. - Mkataba wa Buzwagi alikuwa Lowassa? Karamagi,Kikwete na Mwakapugi walihusika. - Stimulus package ya wakulima wa pamba baada ya Mdororo wa uchumi duniani alikuwa Lowassa? Kigwangala na Kikwete wanajua. - Fedha za Bunge la Katiba zilizobaki baada ya UKAWA kususia Bunge hilo bilioni 3.87 alizichukuwa Lowasa? Sitta, Samia suluhu wanahusika. -Bilioni 250 zilizolipwa wakandarasi hewa wa ujenzi wa barabara alikuwa Lowassa? Magufuri na Tizeba wanahusika. - TTCL Kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa Celtel alikuwa ni Lowassa? Mwandosya analo jibu. - Mabehewa mitumba zilizonunuliwa alikuwa ni Lowassa? Mwakyembe anahusika. - Kashfa za pembejeo za wakulima alikuwa ni Lowassa? Wassira na Pinda wanahusika. - Fedha za Gadaffi alikuwa ni Lowassa? Alikuwa ni Membe. - Ununuzi wa nyumba ya Ubalozi wa Tanzania Italia alikuwa ni Lowassa? Kikwete na Mahalu wanahusika. - Escrow tegeta account alikuwa ni Lowassa? Kikwete, Muhongo, Maswi, Albert Marwa wanahusika. - Mradi wa malaria no more alikuwa ni Lowassa? January Makamba mhusika.
 
kale limao sasa....hata kwa akili ya kawaida, waziri mkuu aka-negotiate mkataba?
 
Nyie endeleeni kuweweseka lakini dawa lazima iwaingie tu. Mmezoea kuonea vyama dhaifu vya upinzani sasa mnakutana na nguli wa siasa za Tanzania, ana fedha na ana watu
 
Njia ya muongo ni fupi na sasa ni dhahiri ndugu Lowasa anaudanganya uma wa watanzania usio juwa kaz za waziri mkuu
wewe sio mbumbumbu tu ni chokoraa wa kisiasa usiyeweza kutoa hoja zenye mashiko wewe demu wa nape umekuwa kama nape kwa kuwa nae mda mfupi huu,kalaghabaho
 

Mkuuu......hii ndo ajabu ya nchi hii na watu wake. Walio wachafu wanaonekana wema na waliowema ndo wanaonekana wachafu na wezi wakubwa. Kwa haya wtz tunastahili kuingizwa kwenye the guiness book. Ama kweli baniani mbaya ila kiatu chake dawa......
 
Naam, umenena vyema sana.

Lakini nnakuhakikishia Watanzania wengi wamesha mdharau. Wameshajuwa hana akitakacho zaidi ya madaraka na uwezo wa kuongoza kwa sasa hana.

Mimi nimemdharau zaidi Mbowe kwa kubadilika ghafla na kwa haraka zaidi ya kinyonga!
Mtakiona kilichomnyoa kanga manyoa mwaka huu.
 
Ingependeza kama ungeliahinisha kazi za waziri mkuu kwa kadri ya ufahamu wako kisha ukarejea kazi za waziri mkuu kwa kadri ya alivyosema Lowasa; na mara ukathibitisha pasina na shaka kuwa umma wa watanzania hawakufahamu kazi za waziri mkuu.
Tofauti na hivyo, umetukana umma wa watz kwa kuwadharau kuwa hawatambui kazi za waziri mkuu, isipokuwa wewe na Lowasa. Acha malingo na dharau zisizokuwa na mashiko; na uombe radhi umma wa watanzania.
 
nini waziri mkuu anafanya rais hajui'mwakiembe alisema kama tungesema mambo yote serikali yote ingeanguka alikuwa na maana gani?
.mlimuuzia kimeo lowasa CCM ni majizi
 
Naam, umenena vyema sana.

Lakini nnakuhakikishia Watanzania wengi wamesha mdharau. Wameshajuwa hana akitakacho zaidi ya madaraka na uwezo wa kuongoza kwa sasa hana.

Mimi nimemdharau zaidi Mbowe kwa kubadilika ghafla na kwa haraka zaidi ya kinyonga!

wewe ulitakaje.watanzania tuna imani na lowasa ndani ya ukawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…