Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Kwa anayejua dhamana ya uongozi Lowassa hajajibu kitu. Kacheza na akili za wadanganyika tu. Eti simu ilipigwa kwa mwanasheria halafu akaja kusema uongozi wa juu umesema mkataba uendelee. Waziri mkuu anaongea utumbo kama huu halafu mnauita utetezi?

Kila nikitafakari sentensi hii naona kwamba Lowassa hafai kabisa kuwa rais. Kiongozi asiyejua mamlaka aliyonayo katika ofisi yake. Anayepokea maelekezo ya simu pasipo kuwapo ushahidi wa maandishi. Hiyo simu ilipigwa kwa mwanasheria, kwa nini maelekezo asipewe yeye moja kwa moja? Je alifanya juhudi gani kuthibitisha Kuwa kweli uongozi wa juu umeagiza hivyo?

Akiwa kiongozi mwenye dhamana na uchungu wa kuwatumikia watanzania, kwa nini hukuchukua jukumu la kujiuzulu nafasi yake ili kuepusha kujihusisha na kulihujumu taifa? Hii ingemjengea heshima kubwa pamoja na kuaminika na watanzania. Badala yake akaamua kutumikia maslahi ya uongozi wa juu. Hebu na atueleze yeye alinufaikaje na dili hilo. Ni wazi kwamba hakuishia kuidhinisha tu, kwa sababu alishaufahamu mchezo mzima.

Lowassa ni kiongozi dhaifu tofauti na baadhi ya watu wanavyomdhania. Hafai hata kidogo kupewa madaraka ya juu kabisa ya nchi

Tuanataka huo uongozi wa juu ukanushe kuwa haukuhusika.
 
Na hizo memo alizokuwa anawapa watu wake wa chini watekeleze zilikuwa za nini teamLowasa a.k.a team dodoki. tena kwa handwriting yake na evidence zote zipo. asicheze na akili za watu, Kwa taarifa yako Mbowe keshavuta $2million na Mtei keshavuta $2.5million toka kwa Lowasa kupitia Bank moja uko Middle East kwa sasa hivi tunatoa hint tu. Hivi kwa akili ndogo tu ukimweka Lowasa na Dr. Slaa kwenye Jukwaa na utendaji nani ni Zaidi, si ni Dr. slaa. Kwanza Lowasa hajui hata kujitetea au kuongea kwenye majukwaa sema pesa yake ndo inaongea tu kwa kuwapa pesa ndogodogo kama nyiwe hili kuwapumbaza watu.

Dr, slaa alikuwa na nafasi kubwa ya kushinda kuliko Lowasa. Pia hatuwezi kurudia uchaguzi Mwaka kesho kwa maana afya yake sio nzuri kabisa. Mwambiye anyanyuwe mkono juu kwa dakika moja uone kama hajapanda ndege kwenda Ujerumani kwa matibabu.

Pia matokeo ya uchaguzi wa October yatakuwa hivi= Magufuri/CCM 76% Lowasa/Ukawa 33%, Zito/ACT 0.6% waliobaki 0.4%
 
Let's assume kwamba alichosema Lowassa ni kweli.

Maana yake ni kwamba Lowassa alishirikiana na mamlaka kulitia hasara taifa.

Hiyo mamlaka haigombei urais. Anayegombea ni Lowassa.

Mtu aliyeshirikiana na mamlaka kulitia hasara taifa hafai kuwa Rais.

Kwenye Richmond tumemkamata, kuna mangapi kafanya hatujayashtikia.

Kiujumla utetezi alioutoa Lowassa kajimaliza mwenyewe kwa kukiri kuhusika. Mimi nilifikiri atasema hajahusika...
 
'Hofu' ni muendelezo wa wizi kupitia tane.sco kuendelezwa na lowasa!!
Pia lowasa kulinda mafisadi wa ccm... TeamLowassa
 
Last edited by a moderator:
LOWASA HANA HATIA HATA KIDOGO.

Muda umepita sasa tangu Waziri Mkuu aliejiuzulu Mh Edward Lowassa kujitetea kuhusu kashfa ya richmond.

Lowassa alisema bayana hadharani mbele ya waandishi wa habari na umma kwa ujumla akiwa 'live' ITV, kuwa alipokea maelekezo kutoka 'mamlaka za juu yake' kuwa mkataba wa richmond uendelee.

Mamlaka ya juu yake maana yake ni bosi wake ambaye ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mh, Dr, Prof Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa kuongea vile, Lowassa alijinasua na kashfa hii ya richmond na kumtupia zigo lote aliekuwa bosi wake.

Ikumbukwe katiba inamtaka kutii, kutekeleza na kukamilisha maelekezo ya mamlaka ya juu yake. Ikumbukwe hapo kabla Lowassa hajawahi kujitetea hadharani kuhusu kashfa hii ya richmond!

Tujiulize:

1. Ni kwanini mamlaka ya juu yake haikanushi hii kauli ya Lowassa? Mbona kurugenzi ya habari inayoongozwa na Ndg Salva Rweyemamu imekuwa ipo 'sharp' kukanusha masuala mbalimbali yanayoelekezwa kwa rais kama taasisi hata kama ukanushaji wake ni wa 'ukakasi'?

2. Kuendelea kumuita Lowassa fisadi ni kumtendea haki?, wakati tayari amesema ukweli na kuwekwa wazi?. Tena akaenda mbali kwa kusema yeyote mwenye ushahidi na apeleke mahakamani!

3. Kama hili la ufisadi kwa Lowassa 'si chezo' ni kwanini tume ya Mwakyembe haikumhoji kipindi kile? Kulikuwa na nini?

Ni ukweli gani na ni kwa kiasi gani mtu anatakiwa kusema ili asiendelee kutuhumiwa?!

Simple conclusion:

Kwa muktadha huu wale wanaondelea kumuita Lowassa fisadi badala ya kumuita Jakaya Kikwete fisadi ni wale waliopofuka kifkra!

Ikulu yenyewe imekaa kimya kwa utetezi huu, wewe ndo uhangaike kumuita Lowassa fisadi! Umepofuka kifkra!
 
muhusika wa richmond na escrow anafahamika. tena anajiandaa kuwaaga watanganyika muda si mrefu..
 
Wanajukwaa!

Muda umepita sasa tangu Waziri Mkuu aliejiuzulu Mh Edward Lowassa kujitetea kuhusu kashfa ya richmond.

Lowassa alisema bayana hadharani mbele ya waandishi wa habari na umma kwa ujumla akiwa 'live' ITV, kuwa alipokea maelekezo kutoka 'mamlaka za juu yake' kuwa mkataba wa richmond uendelee. Mamlaka ya juu yake maana yake ni bosi wake ambaye ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mh, Dr, Prof Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa kuongea vile, Lowassa alijinasua na kashfa hii ya richmond na kumtupia zigo lote aliekuwa bosi wake. Ikumbukwe katiba inamtaka kutii, kutekeleza na kukamilisha maelekezo ya mamlaka ya juu yake. Ikumbukwe hapo kabla Lowassa hajawahi kujitetea hadharani kuhusu kashfa hii ya richmond!

Tujiulize:

1. Ni kwanini mamlaka ya juu yake hayakanushi hii kauli ya Lowassa? Mbona kurugenzi ya habari inayoongozwa na Ndg Salva Rweyemamu imekuwa ipo 'sharp' kukanusha masuala mbalimbali yanayoelekezwa kwa rais kama taasisi hata kama ukanushaji wake ni wa 'ukakasi'?

2. Kuendelea kumuita Lowassa fisadi ni kumtendea haki?, wakati tayari amesema ukweli na kuwekwa wazi?. Tena akaenda mbali kwa kusema yeyote mwenye ushahidi na apeleke mahakamani!

3. Kama hili la ufisadi kwa Lowassa 'si chezo' ni kwanini tume ya Mwakyembe haikumhoji kipindi kile? Kulikuwa na nini?

Ni ukweli gani na ni kwa kiasi gani mtu anatakiwa kusema ili asiendelee kutuhumiwa?!

Simple conclusion:
Kwa muktadha huu wale wanaondelea kumuita Lowassa fisadi badala ya kumuita Jakaya Kikwete fisadi ni wale waliopofuka kifkra! Ikulu yenyewe imekaa kimya kwa utetezi huu, wewe ndo uhangaike kumuita Lowassa fisadi! Umepofuka kifkra!

Kuna wakati ukijibu ujinga na wewe utaonekana mjinga,miaka 8 imepita leo mtu aseme uongo wake halafu eti ikulu ikanusha ,sio kila ujinga ikulu itakanusha kuna mambo ya maana ya kufanya hapo ikulu kuliko kukesha kukanusha kila jambo,si mungesema ikulu iseme miaka 8 iliyopita?wakijibu ikulu hapatatosha ndugu zanguni.
 
LOWASA HANA HATIA HATA KIDOGO.

Muda umepita sasa tangu Waziri Mkuu aliejiuzulu Mh Edward Lowassa kujitetea kuhusu kashfa ya richmond.

Lowassa alisema bayana hadharani mbele ya waandishi wa habari na umma kwa ujumla akiwa 'live' ITV, kuwa alipokea maelekezo kutoka 'mamlaka za juu yake' kuwa mkataba wa richmond uendelee.

Mamlaka ya juu yake maana yake ni bosi wake ambaye ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mh, Dr, Prof Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa kuongea vile, Lowassa alijinasua na kashfa hii ya richmond na kumtupia zigo lote aliekuwa bosi wake.

Ikumbukwe katiba inamtaka kutii, kutekeleza na kukamilisha maelekezo ya mamlaka ya juu yake. Ikumbukwe hapo kabla Lowassa hajawahi kujitetea hadharani kuhusu kashfa hii ya richmond!

Tujiulize:

1. Ni kwanini mamlaka ya juu yake haikanushi hii kauli ya Lowassa? Mbona kurugenzi ya habari inayoongozwa na Ndg Salva Rweyemamu imekuwa ipo 'sharp' kukanusha masuala mbalimbali yanayoelekezwa kwa rais kama taasisi hata kama ukanushaji wake ni wa 'ukakasi'?

2. Kuendelea kumuita Lowassa fisadi ni kumtendea haki?, wakati tayari amesema ukweli na kuwekwa wazi?. Tena akaenda mbali kwa kusema yeyote mwenye ushahidi na apeleke mahakamani!

3. Kama hili la ufisadi kwa Lowassa 'si chezo' ni kwanini tume ya Mwakyembe haikumhoji kipindi kile? Kulikuwa na nini?

Ni ukweli gani na ni kwa kiasi gani mtu anatakiwa kusema ili asiendelee kutuhumiwa?!

Simple conclusion:

Kwa muktadha huu wale wanaondelea kumuita Lowassa fisadi badala ya kumuita Jakaya Kikwete fisadi ni wale waliopofuka kifkra!

Ikulu yenyewe imekaa kimya kwa utetezi huu, wewe ndo uhangaike kumuita Lowassa fisadi! Umepofuka kifkra!
Mkubwa hii ni siasa tu haya nayo yatapita asema MUNGU, Kwani huoni yule Bw. mdogo Taratibu, katiba yao iliyotupwa KAPUNI anavyo mshupalia? ASIE NA DHAMBI AWE WA KWANZA KUMTUPIA JIWE....
 
LOWASA HANA HATIA HATA KIDOGO.

Muda umepita sasa tangu Waziri Mkuu aliejiuzulu Mh Edward Lowassa kujitetea kuhusu kashfa ya richmond.

Lowassa alisema bayana hadharani mbele ya waandishi wa habari na umma kwa ujumla akiwa 'live' ITV, kuwa alipokea maelekezo kutoka 'mamlaka za juu yake' kuwa mkataba wa richmond uendelee.

Mamlaka ya juu yake maana yake ni bosi wake ambaye ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mh, Dr, Prof Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa kuongea vile, Lowassa alijinasua na kashfa hii ya richmond na kumtupia zigo lote aliekuwa bosi wake.

Ikumbukwe katiba inamtaka kutii, kutekeleza na kukamilisha maelekezo ya mamlaka ya juu yake. Ikumbukwe hapo kabla Lowassa hajawahi kujitetea hadharani kuhusu kashfa hii ya richmond!

Tujiulize:

1. Ni kwanini mamlaka ya juu yake haikanushi hii kauli ya Lowassa? Mbona kurugenzi ya habari inayoongozwa na Ndg Salva Rweyemamu imekuwa ipo 'sharp' kukanusha masuala mbalimbali yanayoelekezwa kwa rais kama taasisi hata kama ukanushaji wake ni wa 'ukakasi'?

2. Kuendelea kumuita Lowassa fisadi ni kumtendea haki?, wakati tayari amesema ukweli na kuwekwa wazi?. Tena akaenda mbali kwa kusema yeyote mwenye ushahidi na apeleke mahakamani!

3. Kama hili la ufisadi kwa Lowassa 'si chezo' ni kwanini tume ya Mwakyembe haikumhoji kipindi kile? Kulikuwa na nini?

Ni ukweli gani na ni kwa kiasi gani mtu anatakiwa kusema ili asiendelee kutuhumiwa?!

Simple conclusion:

Kwa muktadha huu wale wanaondelea kumuita Lowassa fisadi badala ya kumuita Jakaya Kikwete fisadi ni wale waliopofuka kifkra!

Ikulu yenyewe imekaa kimya kwa utetezi huu, wewe ndo uhangaike kumuita Lowassa fisadi! Umepofuka kifkra!
Mkubwa hii ni siasa tu haya nayo yatapita asema MUNGU, Kwani huoni yule Bw. mdogo Taratibu, katiba yao iliyotupwa KAPUNI anavyo mshupalia? ASIE NA DHAMBI AWE WA KWANZA KUMTUPIA JIWE....
 
Kwa anayejua dhamana ya uongozi Lowassa hajajibu kitu. Kacheza na akili za wadanganyika tu. Eti simu ilipigwa kwa mwanasheria halafu akaja kusema uongozi wa juu umesema mkataba uendelee. Waziri mkuu anaongea utumbo kama huu halafu mnauita utetezi?

Kila nikitafakari sentensi hii naona kwamba Lowassa hafai kabisa kuwa rais. Kiongozi asiyejua mamlaka aliyonayo katika ofisi yake. Anayepokea maelekezo ya simu pasipo kuwapo ushahidi wa maandishi. Hiyo simu ilipigwa kwa mwanasheria, kwa nini maelekezo asipewe yeye moja kwa moja? Je alifanya juhudi gani kuthibitisha Kuwa kweli uongozi wa juu umeagiza hivyo?

Akiwa kiongozi mwenye dhamana na uchungu wa kuwatumikia watanzania, kwa nini hukuchukua jukumu la kujiuzulu nafasi yake ili kuepusha kujihusisha na kulihujumu taifa? Hii ingemjengea heshima kubwa pamoja na kuaminika na watanzania. Badala yake akaamua kutumikia maslahi ya uongozi wa juu. Hebu na atueleze yeye alinufaikaje na dili hilo. Ni wazi kwamba hakuishia kuidhinisha tu, kwa sababu alishaufahamu mchezo mzima.

Lowassa ni kiongozi dhaifu tofauti na baadhi ya watu wanavyomdhania. Hafai hata kidogo kupewa madaraka ya juu kabisa ya nchi

Nyenyere acha uhayawani wa kimagamba. Jk ndo fisadi wa Richmond. Kwani umesahau wakati mwakyembe anatoa taarifa ya tume yao, alisema " tuna nyaraka hapa ambazo hatuwezi kuziweka hadharani, kwani Kwa kufanya hivyo tutautikisa mhimili mkuu wa serikali" na hizo zilikuwa meno kutoka ikulu zikimuelekeza lowasa auruhusu mkataba wa richmond uendelee. Sasa hapo nani fisadi?
 
Lowasa atupe ushahidi kuwa Ni kweli mamlaka za Juu ziliamuru kuwa Mkataba uendelee, Je aliambiwa yeye binafsi au aliambiwa na mtu kwamba kaambiwa?

Vipi kuhusu yeye kuingilia mchakato wa Tenda kwa kulazimisha Richmond ipewe mkataba?

Vipi kama Tungevunja mkataba, Halafu tukashtakiwa na Kulazimika kuilipa kampuni hiyo Mabilioni?

Kwa nini Lowasa hakujiuzulu muda uleule anapodai kuwa mamlaka za juu ziliamuru mkataba huo uendelee?, Kama kweli angekuwa anaweka maslahi ya Taifa mbele angejiuzuru palepale!
 
Think big brother don't reason myopicaly
 
Mkubwa hii ni siasa tu haya nayo yatapita asema MUNGU, Kwani huoni yule Bw. mdogo Taratibu, katiba yao iliyotupwa KAPUNI anavyo mshupalia? ASIE NA DHAMBI AWE WA KWANZA KUMTUPIA JIWE....

Endelea kubweteka tu kwa kusema hii ni siasa tuu.....so what? Should we not take part kwa sababu ni siasa?
 
Lowasa atupe ushahidi kuwa Ni kweli mamlaka za Juu ziliamuru kuwa Mkataba uendelee, Je aliambiwa yeye binafsi au aliambiwa na mtu kwamba kaambiwa?]

Vipi kuhusu yeye kuingilia mchakato wa Tenda kwa kulazimisha Richmond ipewe mkataba?

Vipi kama Tungevunja mkataba, Halafu tukashtakiwa na Kulazimika kuilipa kampuni hiyo Mabilioni?

Kwa nini Lowasa hakujiuzulu muda uleule anapodai kuwa mamlaka za juu ziliamuru mkataba huo uendelee?, Kama kweli angekuwa anaweka maslahi ya Taifa mbele angejiuzuru palepale!

Hapo kwenye red

Mwakyembe anamjua zaidi muhusika na alisema kwenye riport yake kuwa kuna baadhi ya mambo ameyahifadhi kwa maslahi ya nchi
 
Wanajukwaa!

Muda umepita sasa tangu Waziri Mkuu aliejiuzulu Mh Edward Lowassa kujitetea kuhusu kashfa ya richmond.

Lowassa alisema bayana hadharani mbele ya waandishi wa habari na umma kwa ujumla akiwa 'live' ITV, kuwa alipokea maelekezo kutoka 'mamlaka za juu yake' kuwa mkataba wa richmond uendelee. Mamlaka ya juu yake maana yake ni bosi wake ambaye ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mh, Dr, Prof Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa kuongea vile, Lowassa alijinasua na kashfa hii ya richmond na kumtupia zigo lote aliekuwa bosi wake. Ikumbukwe katiba inamtaka kutii, kutekeleza na kukamilisha maelekezo ya mamlaka ya juu yake. Ikumbukwe hapo kabla Lowassa hajawahi kujitetea hadharani kuhusu kashfa hii ya richmond!

Tujiulize:

1. Ni kwanini mamlaka ya juu yake hayakanushi hii kauli ya Lowassa? Mbona kurugenzi ya habari inayoongozwa na Ndg Salva Rweyemamu imekuwa ipo 'sharp' kukanusha masuala mbalimbali yanayoelekezwa kwa rais kama taasisi hata kama ukanushaji wake ni wa 'ukakasi'?

2. Kuendelea kumuita Lowassa fisadi ni kumtendea haki?, wakati tayari amesema ukweli na kuwekwa wazi?. Tena akaenda mbali kwa kusema yeyote mwenye ushahidi na apeleke mahakamani!

3. Kama hili la ufisadi kwa Lowassa 'si chezo' ni kwanini tume ya Mwakyembe haikumhoji kipindi kile? Kulikuwa na nini?

Ni ukweli gani na ni kwa kiasi gani mtu anatakiwa kusema ili asiendelee kutuhumiwa?!

Simple conclusion:
Kwa muktadha huu wale wanaondelea kumuita Lowassa fisadi badala ya kumuita Jakaya Kikwete fisadi ni wale waliopofuka kifkra! Ikulu yenyewe imekaa kimya kwa utetezi huu, wewe ndo uhangaike kumuita Lowassa fisadi! Umepofuka kifkra!

Namba 3. Mwakyebe alisema walificha siri ili kuikoa serikali isiporomoke yote. Hiyo siri waliyoificha ndiye muhusika mwenyewe hvyo wakambambikia kesi Lowassa. Unapombambikia kesi mtu humpi nafasi ya kujitetea kwasababu atakushinda kwakuwa wewe unakuwa huna hoja au ushahidi wa kumtia hatiani moja kwa moja. Polisi wanajua hili vizuri ukichukulia mfano wa yule mkenya aliyedaiwa kumtesa dr Ulimboka kule Mabwe pande. Ile ilikuwa mbinu ya kumlinda mhusika kamili ili asiporomoke. Walipoona MWA-NA-HA-LI-SI linaendelea kutoa siri kuhusu mhusika kamili ikabidi walifungie wakidai limeandika habari za kuvitaka vyombo vya dola polisi na wanajeshi kutokutii amri wakati gazeti hilo halikuwahi kuandika habari hizo. Wakati wa kampeni tutayapata yote haya kwa uwazi.
 
kujiuzulu kwa fisadi lowasa hakukuwa kwa hiari bali alilazimishwa kufanya hivyo na tuhuma kwa lowasa hazikuanzia richmond bali ni za muda mrefu kabla ya richmond,kama alikiwa na uchungu na maslahi ya nchi angejiuzulu pale tu alipolazimishwa kusaini kama yeye lowasa alipolazimisha apewe sehemu ya fungu la pesa la mradi wa maji toka ziwa victoria to shinyanga to kahama
 
yule aliyelaximishwa akatoa fungu alijiuzulu wadhifa ule
 
LOWASA HANA HATIA HATA KIDOGO.

Muda umepita sasa tangu Waziri Mkuu aliejiuzulu Mh Edward Lowassa kujitetea kuhusu kashfa ya richmond.

Lowassa alisema bayana hadharani mbele ya waandishi wa habari na umma kwa ujumla akiwa 'live' ITV, kuwa alipokea maelekezo kutoka 'mamlaka za juu yake' kuwa mkataba wa richmond uendelee.

Mamlaka ya juu yake maana yake ni bosi wake ambaye ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mh, Dr, Prof Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa kuongea vile, Lowassa alijinasua na kashfa hii ya richmond na kumtupia zigo lote aliekuwa bosi wake.

Ikumbukwe katiba inamtaka kutii, kutekeleza na kukamilisha maelekezo ya mamlaka ya juu yake. Ikumbukwe hapo kabla Lowassa hajawahi kujitetea hadharani kuhusu kashfa hii ya richmond!

Tujiulize:

1. Ni kwanini mamlaka ya juu yake haikanushi hii kauli ya Lowassa? Mbona kurugenzi ya habari inayoongozwa na Ndg Salva Rweyemamu imekuwa ipo 'sharp' kukanusha masuala mbalimbali yanayoelekezwa kwa rais kama taasisi hata kama ukanushaji wake ni wa 'ukakasi'?

2. Kuendelea kumuita Lowassa fisadi ni kumtendea haki?, wakati tayari amesema ukweli na kuwekwa wazi?. Tena akaenda mbali kwa kusema yeyote mwenye ushahidi na apeleke mahakamani!

3. Kama hili la ufisadi kwa Lowassa 'si chezo' ni kwanini tume ya Mwakyembe haikumhoji kipindi kile? Kulikuwa na nini?

Ni ukweli gani na ni kwa kiasi gani mtu anatakiwa kusema ili asiendelee kutuhumiwa?!

Simple conclusion:

Kwa muktadha huu wale wanaondelea kumuita Lowassa fisadi badala ya kumuita Jakaya Kikwete fisadi ni wale waliopofuka kifkra!

Ikulu yenyewe imekaa kimya kwa utetezi huu, wewe ndo uhangaike kumuita Lowassa fisadi! Umepofuka kifkra!

Kwa hiyo tundu lissu, dr slaa, lipumba nk wamepofuka kifikra?
 
Back
Top Bottom