Ikija ishu ya Rwanda tena ama ile ya ziwa Nyasa kama mwaka jana naamini tutaingia vitani chini ya Lowassa, huyu jamaa hana busara na ana ubabe sana, hajuhi compromise wala reconciliation, hatuwezi, we can't afford to have a such president. Hajiheshimu na anatawaliwa na mihemko mno na jazba, ni kama mwanamke mja mzito, ana presha sana na mtu ambaye hawezj kucontain presha hafai kuwa kiongozi, kwasababu atakuwa anarespond si kwa fikra bali kwa presha anayoipata na akikutana na wahuni wakamwambia piga huyo, yeye ataliga bila kuhesabu cost za kupiga ..Lowassa type.