Richmond ni dili la mkulu.
Haya madili sasa hivi ni kimya kwani MKULU bado yuko madarakani lakini akiondoka sintaona ajabu kama yataanza kumfumukia na wahusika kusimamishwa kizimbani!! Juzi juzi mmoja kati ya mdugu za mkulu aliyempa zawadi ya kuwa mkurugenzi mkuu wa TANTRADE ili hali nafasi ile hakustahili kupewa; amefikishwa mahakamani kwa makosa ya kutumia MADARAKA VIBAYA NA kufisadi akiwa mkuu wa Tantrade!!! Inavyoelekea wengi watasimaMISHWA KIZIMBANI baada ya mwezi wa kumi wakiwemo wale waliofisidi mradi wa barabara ya Bagamoyo mpaka Msata!!! Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu!!!