Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Richmond ni dili la mkulu.

Haya madili sasa hivi ni kimya kwani MKULU bado yuko madarakani lakini akiondoka sintaona ajabu kama yataanza kumfumukia na wahusika kusimamishwa kizimbani!! Juzi juzi mmoja kati ya mdugu za mkulu aliyempa zawadi ya kuwa mkurugenzi mkuu wa TANTRADE ili hali nafasi ile hakustahili kupewa; amefikishwa mahakamani kwa makosa ya kutumia MADARAKA VIBAYA NA kufisadi akiwa mkuu wa Tantrade!!! Inavyoelekea wengi watasimaMISHWA KIZIMBANI baada ya mwezi wa kumi wakiwemo wale waliofisidi mradi wa barabara ya Bagamoyo mpaka Msata!!! Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu!!!
 
Lowassa ndio Rais.. nyie mtakomaa...

Mtahangaika kila kona, tushaamua...!!!
 
yaan la maana hapa tushajua kuwa mamlaka ya juu ya waziri mkuu ndo inahusika na ndo imepiga hela kwa maana hiyo watu wametajirisha familia zao na marafiki zao sasa basi lowassa kashatubu n tumemwelewa sana na amesamehewa dhambi zake za kujichanganya na misisiem ambyo haina agenda za kitaifa
amejiuzuru kwa kuilinda serikali ya mkwere ambaye hana shukrani
hata mfanyeje sibadiliki nikiliona jina na sura ya lowassa nampa kura
 
tumepeleka maskini ikulu leo wanatajirisha familia zao angalia leo ridhiwani hafanani na makongoro kabsa safari hii tunapeleka tajiri lowassa
 
Hakuna lugha mtaongea mkaeleweka, watu wameshachukua vichinjio wanasubiri siku ya kupiga kura waichinje ccm.
 
Kwanini yote haya baada ya lowasa kuhama ccm???...watanzania sio wale wa enzi za zidumu fikra za mwenyekiti...mie nsha fanya maamuzi kura yangu UKAWA....
 
Teh teh! Eti Lowasa awe rais, mtu mwenyewe anaongea kwa kutetemeka!
 
Ikija ishu ya Rwanda tena ama ile ya ziwa Nyasa kama mwaka jana naamini tutaingia vitani chini ya Lowassa, huyu jamaa hana busara na ana ubabe sana, hajuhi compromise wala reconciliation, hatuwezi, we can't afford to have a such president. Hajiheshimu na anatawaliwa na mihemko mno na jazba, ni kama mwanamke mja mzito, ana presha sana na mtu ambaye hawezj kucontain presha hafai kuwa kiongozi, kwasababu atakuwa anarespond si kwa fikra bali kwa presha anayoipata na akikutana na wahuni wakamwambia piga huyo, yeye ataliga bila kuhesabu cost za kupiga ..Lowassa type.

Pinda unamweka wapi? Au yy vp?
 
Maisha magumu, gharama kila cku znapanda,michango kila kona, tunahubiliwa shuleni michango imefutwa lkn hatuoni utekeklezaji.
Mbona kodi ya kichwa ilifutwa natukaona utekeklezaji wake? Acheni kudanganya watu hapa hapa nyie timu ccccm sawa.
 
Pinda unamweka wapi? Au yy vp?

Mtu amejiuzulu kwa manufaa ya Uma bado hana busara! Au angesema "Wapigwe tu" ndio busara! Alafu miaka imepita baada ya kujiuzulu, ndio mnaona makosa yake? Akiwa CCM mnamfagilia na kumlinda akitoka mchafu!! HUYO NDIYE CHAGUO LETU.
 
Lowassa atakupasua kichwa. Nguvu yake ndo ugumu wa maisha yako kwa sasa. Nahisi una cheo ambacho unahisi akiingia madarakani atakifuta na kisha uwe jobless.Mbona wagombea wengine hawatajwi?
 
Back
Top Bottom