Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Wewe muuliza swali huna huruma, walau ungewauliza swali jepesi kwa mfano: Baada ya magufuli kuwakamata wale wavuvi wa asili ya asia na kuwafungulia kesi na hatimaye magufuli akashindwa kesi vibaya na wizara yake ikapigwa faini kubwa waulize je taifa limepata hasara kiasi gani kwa uzembe wake?

Hahaha hatawewe humpati mtu, swalilako nilakusomwa na kutoka nduki.

My take,
Ccm kisicho riziki hakiliki mwaka huusiyo riziki yenu.
 
Nimesha sema hata kama, yule alikuwa Lowasa wa CCM na huyu wa leo ni wetu (hana hata chembe ya shutuma ndani ya UKAWA)
 
Uzi huu ushaunganishwa tayari wakati ulkuwa unajitegemea. Mwana Mtoka Pabaya umewashika watu pabaya.
 
Kuhusu uhusika wa Lowassa katika issue ya Richmond nilimusikia akiisemea Mara mbili.

1. Mara ya kwanza alisema,"Kila nilichofanya ilikuwa ni kwa amri kutoka juu"

2. Mara ya pili akasema, "Kila nililolifanya wakuu wangu walikuwa wanajua".

Kwa nini Haya maneno hayasemewi vinginevyo? No body or agent from above has refuted it.

Mwakyembe, Sitta na Dr Slaa wote wanaishia kuonyesha kutenda kwa Lowassa tu.

Hakuna anayeenda mbele with evidence kuwa katika kutenda huko kulisababishwa kutoka na mamlaka nyingine ambayo yeye hakuwa na Uwezo wa kuikatalia.

Is Lowassa guilty if that is the case?
 
Hii ya Mamlaka Ya juu Kutojibu ,Kwa Tanzania Ni Ujumbe tosha Kuwa Mh.Lowassa kwenye issue ya Richmond Alikuwa Mbuzi Wa Kafara. Mwakyembe,Sitta Na Slaa Ukiwasikiliza wanarudia Yale Yale yenye kila Dalili Za Chuki Binafsi.
 
Sisiemu kwajinsi walivyobanwa kama lowasa angekua namakosa kwa jinsi wanavyopenda ushindi wa mezani ninavyojua wasingekubali kukaa kimyaa mpaka leo . Lakin wanajua hana kosa ndiyo maana wanaishia kupiga porojo za uongo mitaani .
 
Silence means acceptance; wakikanusha means they have an obligation to answer a string of questions about why, how, when, what; happened?! then it opens up the whole Pandora's box, and then the powers that be are in total mess!

The guilty are always afraid; and anyone who acts cagey; has something to hide! Kamwe hawawezi kumjibu wala kumshitaki Lowassa kuhusu Richmond, wanaendelea kukwepa hoja na kumtuhumu tu bila kuchukua hatua.
That said, hatudanganyiki, Edward Ngoyai Lowassa is the God sent vehicle to deliver this nations citizens from the clutches of bondage, servitude and oppression of half a century's CCM governance. Enough, enough, enough!


Kuhusu uhusika wa Lowassa katika issue ya Richmond nilimusikia akiisemea Mara mbili.

1. Mara ya kwanza alisema,"Kila nilichofanya ilikuwa ni kwa amri kutoka juu"

2. Mara ya pili akasema, "Kila nililolifanya wakuu wangu walikuwa wanajua".

Kwa nini Haya maneno hayasemewi vinginevyo? No body or agent from above has refuted it.

Mwakyembe, Sitta na Dr Slaa wote wanaishia kuonyesha kutenda kwa Lowassa tu.

Hakuna anayeenda mbele with evidence kuwa katika kutenda huko kulisababishwa kutoka na mamlaka nyingine ambayo yeye hakuwa na Uwezo wa kuikatalia.

Is Lowassa guilty if that is the case?
 
Nyie waheshimiwa sana!

Dukuduku langu ni moja tu kwenu watajwa hapo juu. Ni kwa nini kamati teule ya Mwakyembe iliogopa kummhoji Lowassa? Kuna woga gani?

Naomba jibu roho yangu itulie! Mkishindwa kunipa majibu yanayojitosheleza, basi mu shut up and keep quiet!
 
Tuachane na Richmond twende Escrow nani Alichukua Pesa pale stanbic kwenye vikoba?
 
Itisha mdahalo utajua yote!
Kwa mara ya kwanza Tanzani na Duniani kote katika historia ya Siasa za vyama vingi, tunashuhudia Upinzani wanakimbia midahalo na chama tawala....inachekesha sana...Mbowe...kubali you are smart, but not strategic
 
Lowasa alishasema anayehusika na Richmond ni mkuu wa kaya lakini mbona hawamwambii Rais Jk aseme ukweli badala yake Lowasa!

Lowasa hahusiki na ukweli ni huu:

Mambo yote ya mikataba na mengine makubwa yanapitishwa na baraza la mawaziri ambalo;

Mwenyekiti ni Rais wa JMT

Katibu ni katibu kiongozi wa serikali wakati huo akiwa P.Luhanjo

Waziri mkuu ni msimamizi yaani kiranja.

Jambo linaposhindikana hupigwa kura.

Lowasa alisema hahusiki na katika mfumo huo wa baraza la mawaziri mwenye kura ya VETO ni rais pekee kama jambo limeleta mvutano.

Pili mitambo iliyokuwa ya Richmond ndiyo sasa inaitwa SIMBION,sasa tujue mmiliki wa simbion ni nani? Huyo ndiyo atwambie alirithi mitambo hiyo kutoka kwa mmiliki gani ili tujue asili ya Richmond.

Pili hadi mwaka jana Richmond ilikuwa bado inalipwa! Je serikali ilikuwa inamlipa nani? Lowasa! Kama Lowasa ndiyo alikuwa analipwa ilikuwaje akiwa nje ya mfumo?

Naona makamba huko Tanga anadanganya umma.
 
  • Thanks
Reactions: Gor
Richmond -> Dowans -> Symbion. Ccm mtueleze kwa ufasaha kama ifuatavyo
1.Richmond ilikuwa ya Nani??.
2.Dowans ilikuwa ya Nani??.
3.Symbion ni ya Nani??.
4.Kwa nini mitambo ni ileile kwa kampuni zote tatu haijabadilika???.
 
CCM wanajua mwenye Richmond ndio maana hawaendi mahakamani.

Wanajua Jk itamtokea puani.
 
Richmond> Dowans>Symbion kwa sasa na mitambo ni yale ya Richmond.......tunaomba ufafanuzi katka hili
 
Richmond -> Dowans -> Symbion. Ccm mtueleze kwa ufasaha kama ifuatavyo
1.Richmond ilikuwa ya Nani??.
2.Dowans ilikuwa ya Nani??.
3.Symbion ni ya Nani??.
4.Kwa nini mitambo ni ileile kwa kampuni zote tatu haijabadilika???.

Yote ni Rostam Aziz kama huamini kaa humuhumu ujibiwe.
 
CCM wanajua mwenye Richmond ndio maana hawaendi mahakamani.

Wanajua Jk itamtokea puani.

JK haiwezi kumtokea puani zaidi ya sasa kwa sababu kosa lake kubwa kwa Richmond ilikuwa kuwaruhusu Lowassa na Rostam kufanya yao.
Majibu yote anayo Rostam Aziz au mmesahau tuwakumbushe?
 
Back
Top Bottom