Wewe muuliza swali huna huruma, walau ungewauliza swali jepesi kwa mfano: Baada ya magufuli kuwakamata wale wavuvi wa asili ya asia na kuwafungulia kesi na hatimaye magufuli akashindwa kesi vibaya na wizara yake ikapigwa faini kubwa waulize je taifa limepata hasara kiasi gani kwa uzembe wake?
Kuhusu uhusika wa Lowassa katika issue ya Richmond nilimusikia akiisemea Mara mbili.
1. Mara ya kwanza alisema,"Kila nilichofanya ilikuwa ni kwa amri kutoka juu"
2. Mara ya pili akasema, "Kila nililolifanya wakuu wangu walikuwa wanajua".
Kwa nini Haya maneno hayasemewi vinginevyo? No body or agent from above has refuted it.
Mwakyembe, Sitta na Dr Slaa wote wanaishia kuonyesha kutenda kwa Lowassa tu.
Hakuna anayeenda mbele with evidence kuwa katika kutenda huko kulisababishwa kutoka na mamlaka nyingine ambayo yeye hakuwa na Uwezo wa kuikatalia.
Is Lowassa guilty if that is the case?
CCM wanajua mwenye Richmond ndio maana hawaendi mahakamani.
Wanajua Jk itamtokea puani.
Richmond -> Dowans -> Symbion. Ccm mtueleze kwa ufasaha kama ifuatavyo
1.Richmond ilikuwa ya Nani??.
2.Dowans ilikuwa ya Nani??.
3.Symbion ni ya Nani??.
4.Kwa nini mitambo ni ileile kwa kampuni zote tatu haijabadilika???.
CCM wanajua mwenye Richmond ndio maana hawaendi mahakamani.
Wanajua Jk itamtokea puani.