Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu


Maneno mengi lakini labda ulikuwa mtoto bado Richmond ilipotokea.
Unajua nafasi aliyocheza Lowassa katika utoaji tenda? Unajua kuwa tenda ya Richmond ilitoka nje ya utaratibu na aliyeiamuru Richmond ipewe tenda ni nani?
Lowassa ameidanganya umma lakini kuna evidence inaonyesha kila kitu kilifanyika kwa maagizo yake. Kusema aliaambiwa na mkuu wake ni uongo kwani kwa maelezo yake hii aliambiwa na subordinate wake. Haiwezekani. Waziri Mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali. Richmond, Dowans na hatimaye Symbion ni dili iliyofanywa na rafiki yake mpenzi Rostam kupitia kampuni yake ya Caspian.
Rostam ndiye business partner wake katika madili mengine pia mfano Vodacom Tanzania.
Taratibu kila kitu kitajulikana na hata waliomzunguka Lowassa akina Masha hawajui details na mzee akili yake si ile ya zamani!
 
Mkuu Susuviri...salama? Siku tele...

JF ya zamani si hii ya kizazi cha kuvaa kata K...hatimaye haya matapishi kuna watu wanayalamba humu?
Kweli wakati unaweza kubadili mambo mengi na makubwa...
 
Mkuu Susuviri...salama? Siku tele...

JF ya zamani si hii ya kizazi cha kuvaa kata K...hatimaye haya matapishi kuna watu wanayalamba humu?
Kweli wakati unaweza kubadili mambo mengi na makubwa...

Mkuu Mbalamwezi siku nyingi tuliamua kukaa kimya tuliona mwelekeo ulikuwa mbaya lakini hatimaye jipu limepasuka!
Nadhani kuna umaskini wa kiroho na kimawazo katika Taifa letu. Watu wazima wanajivua ufahamu! Wacha wazidi kuumbuka!
 
Mkuu Mbalamwezi siku nyingi tuliamua kukaa kimya tuliona mwelekeo ulikuwa mbaya lakini hatimaye jipu limepasuka!
Nadhani kuna umaskini wa kiroho na kimawazo katika Taifa letu. Watu wazima wanajivua ufahamu! Wacha wazidi kuumbuka!

Wakongwe haya mambo ni hatari kwa kizazi hiki,,, hiki kizazi kinaweza kupeleka taifa shimoni maana wengi ni wafuata mkumbo nä wanahitaji unafuu wa maisha wa kijinga kabisa na ndio maana unaona wamejaa kwenye siasa huku wakiwa hawajui wakifuatacho,,, ukombozi wa fikra unahitajika katika taifa hili...
 
If we trace back kwenye wizara walizopitia hawa jamaa utagundua ukweli kuwa mmoja ni mtendaji wa kwelikweli na mwingine ni mwigizaji na mpiga madili tu....nataka mnijibu kama waziri mkuu,na kama mshauri mkuu wa rais na kama mtendaji mkuu wa rais alishindwaje kumshauri rais kuhusu richmond??? Na kama alimshauri halafu akakataa kwa nn asingejiuzulu ili kulinda heshima yake na ili kutetea masrahi mapana ya watanzania???
 
Kama Magufuli ni mpinga ufisadi kwa nn hakutoka kule bungeni wkt wa BMK pale CCM walipochakachua miiko ya uongozi?
 
Lowassa hakujiuzulu wkt ule 7bu ya kulinda mfumo wa CCM.
 
Najiuliza hv nina ni aliyepiga deal la kuuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa? Nani alikuwa msimamizi wa hii dili mpaka nyumba za serikali zikauzwa?
 
Wewe nahiyo ccm yako subili tuwachi njiliembali ikulu ni ngoyai tuuuuu
 

= maslahi
 
Utajiuliza sana lakini ndio hivyo tena mabadiliko hayakwepeki
 
Inachekesha pale watu wanapoyaita maji "mma" Huyu mgombea wa ccm ufisadi wake mbona unafumbiwa macho? Leo hii pesa ya umma inalipa mahotel majaji na viongozi wa serikali wanakosa part kuishi wakati hadi hawala alipewa nyumba! Jamani wote tusema hapana kwa ccm. ...
 
Mara DOWANS, mara SYMBION, mara ESCROW! Babalao ni RICHMOND. Unapotaka kumaliza tatizo usipambane na tatizo, pambana na chanzo cha tatizo. Chanzo cha haya yote ni mikataba tata ya kampuni ya RICHMOND. Inawezekana ikaja likaibuka tatizo kubwa kuliko escrow endapo richmond haitashughulikiwa.

Lowasa, Chenge, Werema mtuondolee mikataba ya Richmond na hayo matawi yake ambayo lengo lake lilikuwa kutafuta mvua za Kichina.
 
Tanesco ni IPTL,haya mengine ni chachandu tu
 
Anarudi kukutana na rafiki yake Mwakyembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…