Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
dahhhh hawa chanel ten,inamaana hii habari ya lowasa leo ipo ktk kipengele cha zaid ya habari ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asingekatwa tungejuaje?
Mamlaka ya Juu=ikulu✅✅✅ =Kikwete.❕❕❕
Tulia dawa ikuingie dogo. Mtaelewa tu.Nani anaweza kununua hii hekaya!
Yaani Waziri Mkuu anatumia maneno ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati yeye ndiye namba tatu katika utawala wa nchi achilia mbali ile dhana ya kusema yeye hakukutana barabarani na Rais Kikwete. kwa maana kwamba, mahusiano yao yalikuwa zaidi ya mahusiano ya kikazi.
Kwa hiyo Mwanasheria Mkuu alivyomwambia, yeye hakuwasiliana na Rais kutaka kufahamu ukweli wake?
Kwa nini hakuliambia bunge hii story baada ya kupewa nafasi ya kutoa ufafanuzi?
Mtu mwenye fikara pana hawezi kununua hekaya hizi.
dahhhh hawa chanel ten,inamaana hii habari ya lowasa leo ipo ktk kipengele cha zaid ya habari ama?
Watamkolimba tu maana sasa hakuna namna nyingine ati!
lowassa ataivua nguo serekali hakika tutayajua mengi nawashauri mfanye siasa za kistaarabu ili lowassa awasitiri
Nahisi harufu ya vita kati ya mamlaka ya juu na mheshimiwa Lowassa. Tunasubiri kama upande wa pili nao utakuwa na la kusema au utapiga kimya kama kawaida yake. Hizi siasa bhana zinafurahisha sana wakati mwingine. Mambo yameanza kuwekwa hadharani.
Aliogopa mamlaka ya juu itambabu sea yeye na familia yake.
Asingekatwa?Amekatwa ndio maana mmejua.
Wakati hawajasikia hata kauli ya upande wa pili.haha..., kweli watanzania wanafki haswaa.., sasa Lowassa mnamnafkisha kwa lipi huko CDM?pesa zake au?maana siwezi amini mtu kajitetea miaka 8 yeye sio fisadi, halafu ghafla kahamia CDM utetezi wa muda mfupi tu umekubaliwa!
Wakati hawajasikia hata kauli ya upande wa pili.