Mhakiki
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,385
- 2,101
kama kweli lowasa alihusika katika suala la richmond kwa nini hadi leo hapelekwa mahakamani
mbona wa kwenda mahakamani wanajulikans? ni mamlaka za juu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kweli lowasa alihusika katika suala la richmond kwa nini hadi leo hapelekwa mahakamani
Mamlaka ya juu haikuwasiliana na lowassa ikaamua kuwasiliana na Mgonja na lowassa mzee wa maamuzi magumu akakaa kimya!
Muda huu katika kukakiribishwa na kukabidhiwa kadi MH.LOWASSA ndani ya CHADEMA ,ameulizwa swali moja kuwa
Swali: Mh. Edward Lowassa unazungumiaje kuhusu kashfa ya Richmond?
Majibu Lowassa: Nipende tu kusema mimi kama waziri mkuu kwa kawaida ya sheria huwa ninaletewa mkataba muda wa mwisho kuupitia na kuupitisha huwa sihusiki na kuandaa mikataba,mwenye mamlaka ni waziri husika.
Hivyo baada ya kuletewa mkataba husika wa Richmond niliupitia na kiukweli niliuwekea shaka kwa sababu nilishawahi kuwa waziri wizara ya maji nina uzoefu na kuandaa mikataba, nilishauri mkataba huo uvunjwe lakini waziri wa nishati akawasiliana na "NGAZI YA JUU" na kulazimishwa kuupitisha mkataba huo.
Baada ya kugundulika kuwa mkataba huo ulikuwa na mapungufu mengi, "NILICHUKUA MAAMUZI MAGUMU KWA AJILI YA SERIKALI, na kubeba mzigo wote ndio maana hadi leo wanasema mimi ni FISADI WA RICHMOND, nipende kumaliza kwa kusema kwamba MWENYE USHAHIDI WA RICHMOND AENDE MAHAKAMANI AKANISHTAKI.
mwisho.
Ikulu ilitajwa sehemu gani?
Utaongea sana, ila tukutane October 25 ndo utajua nini maana ya hiki ulichoandika!
Kweli sie ni wadanganyika na si watanzania, MTU alieliibia taifa Mali ya uma leo hii tunasema anafaa!!!! Na kama ilikuwa ngaZi ya juu mbona hakusema kipindi hicho, na alikubali kujiuzuru ili iweje? Na bila aibu eti mbowe anasema chama chake kimefanya kaz kubwa kumconvice Edo ajiunge chadema, mie nasema na eti mwenyeushahidi aende mahakamani. While 2007 chadema ndio waliokuwa wakiombwa ushaidi kuthibitisha ufisadi Wa lowasa, Leo hii chadema nao wanaomba ushahidi!!!! Eeemola nusuru kizaz hiki cha nyoka. Lowasa hafai hata kuwa mjumbe Wa nyumba10.
Unajua mimi bado sijaelewa,kwani mamlaka ya juu ndio nani?
Huyo kanga tumenyoa sisi tena ni kibudu aka nyamafu. Kuleni uozo wa matapishi mnayomezeshwa na Mbowe.
Misukule siwashangai kwa kuwa kila mtakacholishwa kwenu ni hewala tu, hamna akili za kufikiri wenyewe, nnamshangaa Mbowe, haoni hata haya kula matapishi yake?
sanduku la kura litawapa majibu,kama mpo sahihi au la.