Kashfa ya Upangaji Matokeo ya ligi ya Italy Vs Kashfa ya Upangaji Matokeo ligi daraja la kwanza Tanzania

Kashfa ya Upangaji Matokeo ya ligi ya Italy Vs Kashfa ya Upangaji Matokeo ligi daraja la kwanza Tanzania

Ukweli ni lazma usemwe.
Hyo ya Italy kupanga matokeo IPO mpk leo.

Sema serikali ya sasa ya Italy imekaa kihuni na legelege sana.

Betting nchini Italy imeshika sana kasi.

Mwaka jana tu wameonywa na FIFA mara 2 kuhusiana na hilohilo swala LA match fixing.

Uefa nao walichachamaa sana kwa tuhuma za shirikisho LA soka Italy.

Walkua wana kula bingo na matajiri.

Matajiri hawa walkua wakihonga sana marefa na wachezaji.

Pia walkua wanaotaka baadhi ya timu zifanyiwe figisu kwny mechi za mwisho mwisho wa last season ili ziweze kushika nafasi za juu kwny msimamo kuweza kushiriki Uefa.

Kelele zilipokua nyingi serikali ikaingilia kati na kuanza kuwalipa mishahara marefa badala ya posho peke yake kwa kushirikiana na shirikisho.

Pia serikali ikapitisha mswada wa kuwa na kima cha chini cha mishahara ya wachezaji wa ligi mbali mbali ndani ya Italy.

MWAKA JANA HALI ILKUA MBAYA SANA HASA KWA WAZEE WA MIKEKA.

Timu za Italy zlkua znachana mikeka sana sababu ya upangaji wa matokeo.

Haya masuala sio Italy tu kama unavofikiria, Ni ulaya kote na duniani kiujumla. Fifa, uefa, fa kila sehemu. Ila kwakua Serekali ya Italy iliamua kuchukua hatua nchini mwao kwaio dunia imekua ikiwatizama kama wao ndo wachafu tu.
 
Back
Top Bottom