Kashfa ya VITOL inaenda kuwa kubwa kama Ricmond, EPA, Tegeta Escrow na Meremeta

Kashfa ya Vitol (2026): Inahusu tuhuma za ufisadi na upandaji holela wa bei za mafuta nchini Tanzania. Inadaiwa kuwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) lilipewa zabuni na kisha kuikabidhi kampuni ya Uswisi ya VITOL katika mazingira ya utata, na kusababisha nchi kulipa gharama kubwa zaidi ukilinganisha na nchi jirani. Hii nayo inaenda kuwa moja ya kashifa kubwa kuwahi kutokea nchini ambayo inahusisha familia ya Rais mstaafu na aliyepo madarakani.

Kashfa ya Richmond (2006): Ilitikisa nchi baada ya kubainika kuwa kampuni hewa ilipewa mkataba wa kuzalisha umeme wa dharura na kusababisha hasara kubwa, jambo lililosababisha aliyekuwa Waziri Mkuu wakati huo, Edward Lowassa, na mawaziri wengine kujiuzulu.

Kashfa ya Escrow (2013): Ililenga uchotaji wa zaidi ya Shilingi bilioni 300 kutoka kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikihusisha viongozi mbalimbali wa serikali na wafanyabiashara.

Kashfa ya EPA - Tangold (2006): Wizi na ufisadi mkubwa uliofanywa na wafanyabiashara kupitia Akaunti ya Malipo ya Nje (External Payment Arrears) iliyokuwa Benki Kuu.

Kashfa ya Rada (1999): Ilihusu ununuzi wa rada ya kijeshi kutoka kampuni ya Uingereza ya BAE Systems kwa gharama ya dola za Marekani milioni 40. Ununuzi huu ulikuwa na utata mkubwa tangu mwanzo kufuatia mashirika kama Benki ya Dunia kuonya kuwa rada hiyo ilikuwa ya gharama kubwa na isiyofaa kwa matumizi ya kiraia.

Kashfa ya Lugumi (2016): Sakata lililohusu mkataba tata wa vifaa vya utambuzi wa alama za vidole katika vituo vya polisi uliohusisha mabilioni ya fedha za walipa kodi.

Kashfa ya Makinikia (2017): Inahusu mzozo mkubwa wa kiuchumi na kisheria kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya madini ya Acacia Mining (kwa sasa inamilikiwa na Barrick Gold Corporation) kuhusu usafirishaji wa mchanga wenye madini (makinikia) nje ya nchi.

Kashifa zingine kubwa kwa Tanzania ni BOT Twin Towers, Loliondo.
1. Bado ya ujenzi wa reli ya SGR katika lots zote ambazo tenda zake zote ni utata mtupu huku, bei zikiwa - inflated kuliko bei ya kawaida na kufanya mradi wote ktk lots zote kusimama kwa kukosekana pesa kwa kuwa wahuni wamezipiga zote.

2. Bado pia ujenzi wa uwanja mpira wa Arusha utakaotumika kwa ajili ya AfCON 2027 ambapo bei imeongezwa kinjyemela kwa zaidi ya 160B TZS...

#Swali ni nani wa kulianzisha hili ili vyombo rasmi vyenye mamlaka ya kuchunguza na kuchukua hatua vikiwa tayari viko so corrupted kuanzia Bunge, Polisi, TISS na mahakama..?

#Just imagine, Rais haramu wa nchi (Samia Suluhu Hassan) ambaye ndiye custodian mkuu wa mali zote za umma alishakosa moral authority ya kukemea mambo haya kwa sbb yenye mwenyewe ni mwizi, fisadi, muuaji na kutoka ktk Kiti chake cha mamlaka ya u - Rais kunatoka ushetani mtupu na unaoshuka hadi chini huku kwa shetani vidogo dogo vinavyoitwa DC, RC, Waziri fulani, Mkurugenzi fulani au Mwenyekiti wa bodi fulani...

#Lakini lipo tumaini, kuwa, ipo siku na inakuja na i karibu sana, kwamba, nchi hii itashikwa na kuongozwa na mtu muadilifu na atachimbua kila kaburi la uchafu, na hakyanani vile, vizazi vyote vya viongozi wa CCM waliokuwa ktk nafasi za maamuzi na mamlaka watakaokutwa hai wakati huo wataishia Jela na madeni haya yote yatalipwa na wajukuu na vitukuu vyao mpaka wamalize..!!

Ndio maana ya hii natural principle ya Mwanasayansi Isack Newton ikisema

"....for every action, there's equal and opposite reaction...."

Kwamba kila tendo unalolifanya kuelekea uelekeo fulani au kwa mtu fulani, ipo siku na wakati tendo hilohilo au linalofanana na kama ulivyomtendea mwingine litakurudia wewe mwenyewe kwa nguvu na staili hiyo hiyo uliyotumia kumtendea mwingine...!
 
Kashfa ya Vitol (2026): Inahusu tuhuma za ufisadi na upandaji holela wa bei za mafuta nchini Tanzania. Inadaiwa kuwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) lilipewa zabuni na kisha kuikabidhi kampuni ya Uswisi ya VITOL katika mazingira ya utata, na kusababisha nchi kulipa gharama kubwa zaidi ukilinganisha na nchi jirani. Hii nayo inaenda kuwa moja ya kashifa kubwa kuwahi kutokea nchini ambayo inahusisha familia ya Rais mstaafu na aliyepo madarakani.

Tatizo kwa AWAMU hii hawa jamaa hawajali kabisa.

Kama waliweza kupitisha mkataba wa Bandari pamoja na kelele zote zile hivi kweli unategemea hii issue itawashtua ...!!?
 
ok gentleman ,
but msipotoshane kindezi hivyo jukwaani, right?🐒
Fungus wewe
Ebu toka hapa kila mtu apambane na hali yake
Mbona wewe unalamba asali kimya kimya

Wacha na sisi tulambe asali kimya kimya unafikir zile trillion moja ni zako pekee yako
Kula nyama nyamaza
Kokoriko wewe
 
na mihemko useless hivyo utapambana na nani sasa gentleman hata ufanikiwe kwa mfano?:pedroP:
 
Kashfa ya Vitol (2026): Inahusu tuhuma za ufisadi na upandaji holela wa bei za mafuta nchini Tanzania. Inadaiwa kuwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) lilipewa zabuni na kisha kuikabidhi kampuni ya Uswisi ya VITOL katika mazingira ya utata, na kusababisha nchi kulipa gharama kubwa zaidi ukilinganisha na nchi jirani. Hii nayo inaenda kuwa moja ya kashifa kubwa kuwahi kutokea nchini ambayo inahusisha familia ya Rais mstaafu na aliyepo madarakani.

Kashfa ya Richmond (2006): Ilitikisa nchi baada ya kubainika kuwa kampuni hewa ilipewa mkataba wa kuzalisha umeme wa dharura na kusababisha hasara kubwa, jambo lililosababisha aliyekuwa Waziri Mkuu wakati huo, Edward Lowassa, na mawaziri wengine kujiuzulu.

Kashfa ya Escrow (2013): Ililenga uchotaji wa zaidi ya Shilingi bilioni 300 kutoka kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikihusisha viongozi mbalimbali wa serikali na wafanyabiashara.

Kashfa ya EPA - Tangold (2006): Wizi na ufisadi mkubwa uliofanywa na wafanyabiashara kupitia Akaunti ya Malipo ya Nje (External Payment Arrears) iliyokuwa Benki Kuu.

Kashfa ya Rada (1999): Ilihusu ununuzi wa rada ya kijeshi kutoka kampuni ya Uingereza ya BAE Systems kwa gharama ya dola za Marekani milioni 40. Ununuzi huu ulikuwa na utata mkubwa tangu mwanzo kufuatia mashirika kama Benki ya Dunia kuonya kuwa rada hiyo ilikuwa ya gharama kubwa na isiyofaa kwa matumizi ya kiraia.

Kashfa ya Lugumi (2016): Sakata lililohusu mkataba tata wa vifaa vya utambuzi wa alama za vidole katika vituo vya polisi uliohusisha mabilioni ya fedha za walipa kodi.

Kashfa ya Makinikia (2017): Inahusu mzozo mkubwa wa kiuchumi na kisheria kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya madini ya Acacia Mining (kwa sasa inamilikiwa na Barrick Gold Corporation) kuhusu usafirishaji wa mchanga wenye madini (makinikia) nje ya nchi.

Kashifa zingine kubwa kwa Tanzania ni BOT Twin Towers, Loliondo.
Chawa wakiona hii wewee

Na hawatajibuu

Wako kuzusha ulaji wa pesa zetuuu

Za TONETONE tulizochanga na hawana hata ushahidi

HAta vyombo vya habari dastbin hawtaandika hili hata siku mojaa

Mimi nadhani

Chama chetu cha wananchi wotee

Kiwapeleke Mahakamani wote waliozusha hii taarifa na wadhibitishe
 
Kashfa ya Vitol (2026): Inahusu tuhuma za ufisadi na upandaji holela wa bei za mafuta nchini Tanzania. Inadaiwa kuwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) lilipewa zabuni na kisha kuikabidhi kampuni ya Uswisi ya VITOL katika mazingira ya utata, na kusababisha nchi kulipa gharama kubwa zaidi ukilinganisha na nchi jirani. Hii nayo inaenda kuwa moja ya kashifa kubwa kuwahi kutokea nchini ambayo inahusisha familia ya Rais mstaafu na aliyepo madarakani.

Kashfa ya Richmond (2006): Ilitikisa nchi baada ya kubainika kuwa kampuni hewa ilipewa mkataba wa kuzalisha umeme wa dharura na kusababisha hasara kubwa, jambo lililosababisha aliyekuwa Waziri Mkuu wakati huo, Edward Lowassa, na mawaziri wengine kujiuzulu.

Kashfa ya Escrow (2013): Ililenga uchotaji wa zaidi ya Shilingi bilioni 300 kutoka kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikihusisha viongozi mbalimbali wa serikali na wafanyabiashara.

Kashfa ya EPA - Tangold (2006): Wizi na ufisadi mkubwa uliofanywa na wafanyabiashara kupitia Akaunti ya Malipo ya Nje (External Payment Arrears) iliyokuwa Benki Kuu.

Kashfa ya Rada (1999): Ilihusu ununuzi wa rada ya kijeshi kutoka kampuni ya Uingereza ya BAE Systems kwa gharama ya dola za Marekani milioni 40. Ununuzi huu ulikuwa na utata mkubwa tangu mwanzo kufuatia mashirika kama Benki ya Dunia kuonya kuwa rada hiyo ilikuwa ya gharama kubwa na isiyofaa kwa matumizi ya kiraia.

Kashfa ya Lugumi (2016): Sakata lililohusu mkataba tata wa vifaa vya utambuzi wa alama za vidole katika vituo vya polisi uliohusisha mabilioni ya fedha za walipa kodi.

Kashfa ya Makinikia (2017): Inahusu mzozo mkubwa wa kiuchumi na kisheria kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya madini ya Acacia Mining (kwa sasa inamilikiwa na Barrick Gold Corporation) kuhusu usafirishaji wa mchanga wenye madini (makinikia) nje ya nchi.

Kashifa zingine kubwa kwa Tanzania ni BOT Twin Towers, Loliondo.

Serikali hii ni fake kila mtu anajua na imejaa wala rushwa wakubwa. Hakuna kitakachotokea maana wanufaika wakubwa ni marafiki na uongozi huu fake. wameweka watu wao ili wapige deal yaani tanzania ya sasa imejaa wezi tu
 
HNvpbv2W8AAGTnc.jpeg
HNvpbv3WoAAqpVY.jpeg
 
Yaani wamiliki wa hiyo kampuni ya kuingiza mafuta nchi wana undugu na wamiliki wa kampuni ya Oilcom ya kuuza mafuta hapa nchini- conflict of interest!
 
Ukisoma hiyo taatifa utang'amua umaskini wa Waafrika tunajitengenezea wenyewe. Maisha yamepanda kwa sababu ya mafuta hayo yaliyopandishwa bei!
 
Back
Top Bottom