BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Inadaiwa kuwa Diddy amefikia uamuzi huo ili kulinda uwekezaji wa makampuni yanayotangaza kupitia 'Revolt' yakiwemo Kampuni ya Kuunda Magari ya Cadillac na Mtandao wa Huduma za Simu wa AT&T.
Wakati huo huo, Shule za Capital Preparatory ambazo Diddy alikuwa akidhamini shughuli za uendeshaji pamoja na kulipa Ufadhili wa Masomo kwa Wanafunzi imetangaza kusitisha uhusiano wake na Mfanyabiashara huyo ikieleza uamuzi huo unalenga kulinda ustawi na mwelekeo wa Shule hizo.
Kwa takriban mwezi mmoja, Nyota huyo wa Hip Hip amekuwa akikabiliwa na kashfa pamoja na kufunguliwa kesi zinazohusu kuwanyanyasa Wanawake Kingono akiwemo aliyekuwa Mpenzi wake, Mwimbaji wa R&B, Cassie.
=============
It looks like #Diddy's partnership with #CapitalPreparatoryCharterSchools has come to an end. On Tuesday, Dr. Steve Perry, the founder and head of the schools, made an official announcement.
In a statement posted to the school's official website, Dr. Perry said, "Following a comprehensive evaluation, a decision has been made to end the partnership between Capital Preparatory Schools and Sean Combs. While this decision was not made lightly, we firmly believe it is in the best interest of our organization's health and future."
According to @apnews, Diddy was involved with the launch of the charter school's Harlem location in 2016, and in 2021, he made a $1 million donation that went towards the school's Bronx location. The news of the school's decision to part ways with the mogul came shortly after it was announced that he would be stepping down as the chairman of REVOLT.