Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Hizi ni story za wajinga wajinga kama wewe wasio na akili.. Usitake kusema na wew una akiliwakati wewe unajiona una akili sana hapo unapoishia ndipo wengine wanaanzia.
siku ukitembelea Mwanza njoo Nyakato karibu na shule ya Msingi Buzuluga nikupeleka chemba moja ambapo salaamu yao ni good morning muda wowote hata saa mbili usiku na kila aliyeko kwenye ofc hio kapaki ndinga nje ujionee ambayo hujawahi kuona …
nje ya ofc hizo kuna bango gani na wanajitangaza kua wanafanya nini utajua ukifika.
ikiwa kitu hujui au huamini ni bora ukabaki na kile unachokiamini ila sio kukomaza shingo na kujifanya unajua kila kitu.