Kashfa za Ngono zaanza kumgharimu Diddy, ajiuzulu Uenyekiti wa 'REVOLT, Shule anayoidhamini yavunja uhusiano naye

Kashfa za Ngono zaanza kumgharimu Diddy, ajiuzulu Uenyekiti wa 'REVOLT, Shule anayoidhamini yavunja uhusiano naye

Denzel Washington told simth at highest moment becareful is when devil comes for you
 
I am glad Bado Kuna wanaume kama wewe ndugu wanaangalia hili suala la angle tofauti...

Kaka kiukweli Huwa haingii akili hata kidogo eti mtu amefanya tukio miaka 31 iliyopita, halafu eti anakuja kushtakiwa Leo na miaka yote hiyo alikuwepo tu na aliyetendewa yupo tu anamuona, halafu eti watu wanachukulia serious..!! Bro huu Huwa ni upumbavu na uonevu wa kiwango cha juu kabisa, ndio maana Huwa nasema nchi za magaribi Zina justice system mbovu sana na kandamizi hususani kwa mwanaume.

Kwanza kwa miaka yote hiyo huwezi kupata vithibitisho vya hukakika visivyokuwa na shaka
Sheria za unyanyasaji kwa wazungu ni kandamizi sana kwa wanaume, yani hata ukizingishiwa tuu tayali jamii nzima inakugeuka mfano mzuri ni bwana mdogo Greenwood mchezaji wa Manchester united na John Dep maarufu kama jack Sparrow walitengwa na jamii hadi watu kuandamana kabisa alafu kesi zilikua za kuzingishiwa, cha kushangaza hao hao wazungu ndio wanajiita wapenda haki
 
The whole west is totally fuccked up when it comes to handling man vs woman issue, rape case in particular!

Men are now second class people and always legally marginalized at the cost of serving women's demands.

Benjamin Mendy kesi yake imechukua takribini mwaka mzima na miezi 8 ikifanyiwa uchunguzi na mwisho wa siku amekuja kuonekana hana hatia... Na wale wanawake waliomshtaki hawajachukuliwa hatua yoyote mpaka sasa sasa pamoja na kumuharibia maisha yake na kuidanganya mahakama...si media Wala club yenyewe ya Manchester city imetoka tamko lolote kuhusuiana kuachiwa kwake huru.

Ni mpumbavu pekee tu atafurahia na kuona wazungu wanatenda haki na wanastahili kuigwa kwa hiki kinachoendelea kuwatokea wanaume huko.
 
Ukiwa na, mkwanja mrefu, kupona katika hizi, kashfa ngumu Sana, lazima utatamani misamwanda ya wafanyakazi wenzio, au wajiliwa wako, wasaidizi, ubaya huko majuu,sheria inafsta mkondo,haipindishwi!
Ukichunguza hapa bongo, kwenye mofisi, lazima kuna wadsda wanashikishwa ukuta bila kupenda!
 
Back
Top Bottom