Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Hizi ni story za wajinga wajinga kama wewe wasio na akili.. Usitake kusema na wew una akiliwakati wewe unajiona una akili sana hapo unapoishia ndipo wengine wanaanzia.
siku ukitembelea Mwanza njoo Nyakato karibu na shule ya Msingi Buzuluga nikupeleka chemba moja ambapo salaamu yao ni good morning muda wowote hata saa mbili usiku na kila aliyeko kwenye ofc hio kapaki ndinga nje ujionee ambayo hujawahi kuona β¦
nje ya ofc hizo kuna bango gani na wanajitangaza kua wanafanya nini utajua ukifika.
ikiwa kitu hujui au huamini ni bora ukabaki na kile unachokiamini ila sio kukomaza shingo na kujifanya unajua kila kitu.
Tulia weweee na saundi zako za kisoro.wakati wewe unajiona una akili sana hapo unapoishia ndipo wengine wanaanzia.
siku ukitembelea Mwanza njoo Nyakato karibu na shule ya Msingi Buzuluga nikupeleka chemba moja ambapo salaamu yao ni good morning muda wowote hata saa mbili usiku na kila aliyeko kwenye ofc hio kapaki ndinga nje ujionee ambayo hujawahi kuona β¦
nje ya ofc hizo kuna bango gani na wanajitangaza kua wanafanya nini utajua ukifika.
ikiwa kitu hujui au huamini ni bora ukabaki na kile unachokiamini ila sio kukomaza shingo na kujifanya unajua kila kitu.
Trump nae ndiyo ilikuwa mambo yake ila bdo anatafutiwa angle nzuri apigwe rungu la utosi..Sio kweli. Harvey Weinstein, Kevin Spacey, Bill O'Reilly, Jeffrey Epstein etc wote wameshakumbwa na kashfa za aina hiyo na sio weusi.
tulia na wewe acha shoboTulia weweee na saundi zako za kisoro.
Wewe ulikosea masharti yao kabla hata hujazaliwa kwa sababu ni kapuku hadi wa akiliatakua amekiuka masharti ya freemason huyu na kawaida yao wanakufanya unakua kapuku dakika 0 na ikibidi unakufa kabisa
Jiulize hapa Tanzania ikitokea wanawake wameamua kwenda kuripoti matukio ya kingono waliyowahi kufanyiwa bila ridhaa yao ni wangapi watapona? Watu weupe wanapenda ngono kuliko sisi ila wanaheshimu wanawake na wanajitahidi kuelewa mwanamke akisema hapana.Sijui kwanini kila black icon wa uko nje akishakua juu tu then swala la unyanyasaji wakingono, and other problems vinaibuka inamaana wakina eminem hawajawi kunyanyasa watu kingono!
Jinai haina now au before.. hata MJ walitaka kuifukua kabur lake akapimwe kuhusiana tuhuma hzi hiziWhy hawakusema before ni now??
mkuu ni good more earning sio goodmorningwakati wewe unajiona una akili sana hapo unapoishia ndipo wengine wanaanzia.
siku ukitembelea Mwanza njoo Nyakato karibu na shule ya Msingi Buzuluga nikupeleka chemba moja ambapo salaamu yao ni good morning muda wowote hata saa mbili usiku na kila aliyeko kwenye ofc hio kapaki ndinga nje ujionee ambayo hujawahi kuona β¦
nje ya ofc hizo kuna bango gani na wanajitangaza kua wanafanya nini utajua ukifika.
ikiwa kitu hujui au huamini ni bora ukabaki na kile unachokiamini ila sio kukomaza shingo na kujifanya unajua kila kitu.
Hao wa Goodmorning masaa yote Ni matapeli wa QNET.wakati wewe unajiona una akili sana hapo unapoishia ndipo wengine wanaanzia.
siku ukitembelea Mwanza njoo Nyakato karibu na shule ya Msingi Buzuluga nikupeleka chemba moja ambapo salaamu yao ni good morning muda wowote hata saa mbili usiku na kila aliyeko kwenye ofc hio kapaki ndinga nje ujionee ambayo hujawahi kuona β¦
nje ya ofc hizo kuna bango gani na wanajitangaza kua wanafanya nini utajua ukifika.
ikiwa kitu hujui au huamini ni bora ukabaki na kile unachokiamini ila sio kukomaza shingo na kujifanya unajua kila kitu.
mimi sizungumzii Qnet sasa kuna njemba zingine Qnet wakasomeHao wa Goodmorning masaa yote Ni matapeli wa QNET.
Though sijakataa Freemason is real.
nyie mnasemea Qnet hapo ndio tunachengana.mkuu ni good more earning sio goodmorning
Hamna bana we msukuma muongo tu hamna cha freemasons wala nini hapo hao ni qnet au ndugu zao ndio mabingwa wa kupiga picha na magari ya kifaharimimi sizungumzii Qnet sasa kuna njemba zingine Qnet wakasome
mimi sizungumzii Qnet sasa kuna njemba zingine Qnet wakasome halafu Qnet ni good more earning sio good morning.
sasa wewe unakomaa na Qnet komaa sasa.Hamna bana we msukuma muongo tu hamna cha freemasons wala nini hapo hao ni qnet au ndugu zao ndio mabingwa wa kupiga picha na magari ya kifahari
Ha ha haaa. Jamaa kweli msukuma!mkuu ni good more earning sio goodmorning
qnet haosasa wewe unakomaa na Qnet komaa sasa.
kwanza aliyekwambia mi msukuma nani ?
Kwa sababu kesi nyingi za namna hii Huwa ni za kutengeneza tu na hazinaga ukweli wowote na wanaoibuaga tuhuma hizi wengi Huwa wanatumika na maadui wa mtuhumiwa mwenyewe au muda mwingine unakuta ni kisasi tu, mwanamke aliachana vibaya na didy huko nyuma hivyo amekaa na chuki moyoni kwa miaka mingi sasa anaona huu ndio muda muafaka wa kummaliza..... na pia ufahamu kwamba hizo nchi za wenzetu wanaume wanakandamizwa sana na Sheria na wanawake wanaouchukia wanaume(feminists) wanatumia mianya kama hii kuwakomesha kabisa wanaume kama, maana furaha ya feminist yoyote yule hapa duniani ni kuona mwanaume hasa mwenye mafanikio anaanguka kabisa.Why hawakusema before ni now??
I am glad Bado Kuna wanaume kama wewe ndugu wanaangalia hili suala la angle tofauti...Kwenye kesi za kipumbavu kama hizi ndio hua nawaona wazungu ni wendawazimu, yani kesi ya mwaka 90+ mtu anakuja kuileta Leo alikua wapi miaka yote hiyo π€π€ alafu mtu katuhumiwa tuu tayali wanaanza kumhukumu kama wamekua mahakama π€π€ sijui wana wachukulia wanawake kama viumbe wa namna gani huko π€ ukiwa na kesi nae umeisha, mwanetu kayakanyaga