Kashfa za Yanga kuchoma sindano za kuongeza nguvu, mamlaka zichunguze

Watu walikuwa wanajiuliza, unawezaje kusajili rejected players na bado wakaonesha upinzani uwanjani?

Watu walikuwa wanajiuliza tangu lini Chama akawa na speed?

Now majibu yamekuja kuwa revealed, kuna kitu extra kinatumika.
 
Hivi ni rahisi namna hiyo kumchoma mchezaji professional sindano ya kuongeza nguvu dopping, na hao wachezaji ni wapita njia tu hapo yanga, yaani umuharibie mtu maisha ya soka ya kufungiwa kucheza maisha.
Na wanavyokuwaga na makesi si ungekuta kina mayele , konkon, na wengineo washatoa Siri.

Labda useme mchezaji ajibusti mwenyewe kisiri Siri lakini sio club kufanya hivo
 
Watu walikuwa wanajiuliza, unawezaje kusajili rejected players na bado wakaonesha upinzani uwanjani?

Watu walikuwa wanajiuliza tangu lini Chama akawa na speed?

Now majibu yamekuja kuwa revealed, kuna kitu extra kinatumika.
Chama bado yupo vile vile hana spidi na hawezi mpira wa kasi. Kuna mechi ngapi Yanga imeingia kipindi cha pili na hakuna ushindi waliopata kwenye hiko kipindi cha pili na muda mwingine huwa wanapelekewa mashambulizi vile vile.
 
Wana Simba Wana haha, wanatafuta Kila sababu mwaka huu, mara dopping, mara GSM, mara Marefa, Mara Uchawi duuuuh Simba mnakaribia kuugua kichaa
 
View: https://youtu.be/dOwiPeW_QG4?si=VNT4ZThdodLiWfJb

Siri ya Yanga kupata matokeo isiyostahili kipindi cha pili imebainika.

Sasa tutashinikiza mamlaka za michezo ikiwemo CAF, TFF na FIFA zifanye uchunguzi na hatua kali zichukuliwe.

Jambo zuri huo ushahidi wa tuhuma utumike kwenye mashitaka pale ikibainika hakuna jambo kama hilo. Yaani utadhani Yanga ni timu ya majongoo ambao kamwe hawawezi kuonekana wakikimbia. Yanga ni timu bora kuliko Makolo ikiwa mnafikia tuhuma za kishamba kama hizi.
 
Chama bado yupo vile vile hana spidi na hawezi mpira wa kasi. Kuna mechi ngapi Yanga imeingia kipindi cha pili na hakuna ushindi waliopata kwenye hiko kipindi cha pili na muda mwingine huwa wanapelekewa mashambulizi vile vile.
Mnakuwa mnamu overdoze sindano

Si umecheki kama juzi mlimpiga nyingi mpaka akasizi?

Au hukuona lile tukio alivyooneshwa akiwa amesinzia?
 
Jambo zuri huo ushahidi wa tuhuma utumike kwenye mashitaka pale ikibainika hakuna jambo kama hilo. Yaani utadhani Yanga ni timu ya majongoo ambao kamwe hawawezi kuonekana wakikimbia. Yanga ni timu bora kuliko Makolo ikiwa mnafikia tuhuma za kishamba kama hizi.
Sasa yale mabomba ya sindano ni ya kazi gani?
 
Back
Top Bottom