Kashfa za Yanga kuchoma sindano za kuongeza nguvu, mamlaka zichunguze

Kashfa za Yanga kuchoma sindano za kuongeza nguvu, mamlaka zichunguze


View: https://youtu.be/dOwiPeW_QG4?si=VNT4ZThdodLiWfJb

Siri ya Yanga kupata matokeo isiyostahili kipindi cha pili imebainika.

Sasa tutashinikiza mamlaka za michezo ikiwemo CAF, TFF na FIFA zifanye uchunguzi na hatua kali zichukuliwe.

Ile clip nimeiona inatembea yakionyesha mabomba mawili ya sindano kwenye dust bin chimba cha kubadilishia nguo, lakini kwa akili tu ya kawaida ata kama ujaenda shule ni nani anaweza kutumia sindano za kuongeza nguvu alafu aiache hapo hapo kama ushahidi Tena sehemu ya wazi kabisa namna Ile?
Kuna vitu vingine mnatakiwa kutumia vichwa kufikiria badala ya tumbo, Kuna kaujinga Fulani kanatengenezwa ili kufifisha ubora wa yanga na timu yake ya benchi la ufundi waonekane wanatumia dawa za kusisimua misuli, but ubora wa yanga ni kuwa na kocha Bora wa viungo na fitness coach wao wako vizuri kuliko maelezo!
Yanga anayetuhumiwa kufanya ayo mambo kacheza mpaka fainali ya shirikisho yenye Kila aina ya umakini na kacheza robo fainali ya klabu bingwa kwa energy Ile Ile aikuwai kupungua Ina maana Wenye mamlaka yao ya Mpira mmewazidi akili kujua ilo jambo?
Nadhani dawa ya kumshusha yanga kwenye ubora sio kwa njia iyo ya kishamba ni kuviambia vilabu pia viwekeze kwenye mabenchi Bora ya ufundi na sio blah blah vinginevyo yanga atoshuka pale alipo!
 
Mnakuwa mnamu overdoze sindano

Si umecheki kama juzi mlimpiga nyingi mpaka akasizi?

Au hukuona lile tukio alivyooneshwa akiwa amesinzia?
Lakini ule mshuti alipiga Chama ukamniga Camara na Kijili akafunga bonge la bao,
Chambua kidogo hapo
 
Wakati wa usajili mnaambiwa kuwen kuweni makini nyie mnaenda kuokoteza wachezaji Sasa Aya tunayo yaona ndio Matokeo yake.

Mara mna hamia Ligi ya Burundi, Mara Kayoko, mara Wazee wanatoa siku saba, Sasa ivi mmekuja na ma bomba ya sindano.

Mtaendelea kulalamika mpaka Ligi inakwisha kwakua u mbumbumbu ume kita mizizi kwenye ubongo.

Fanyeni usajili wa maana mpunguze malalamiko.
Yanga Bingwa.
 
Wana Simba Wana haha, wanatafuta Kila sababu mwaka huu, mara dopping, mara GSM, mara Marefa, Mara Uchawi duuuuh Simba mnakaribia kuugua kichaa
Waliopeleka malalamiko ni Azam baada ya kukuta huo ushahidi wa syringes na kamera kuzibwa sio Simba.Wacha kuweweseka.Ushahidi huo ulikutwa kwenye vyumba vya kubadilishia vya Yanga.
Simba haihusiki na huo ubaradhuli wenu.
 
Hivi ni rahisi namna hiyo kumchoma mchezaji professional sindano ya kuongeza nguvu dopping, na hao wachezaji ni wapita njia tu hapo yanga, yaani umuharibie mtu maisha ya soka ya kufungiwa kucheza maisha.
Na wanavyokuwaga na makesi si ungekuta kina mayele , konkon, na wengineo washatoa Siri.

Labda useme mchezaji ajibusti mwenyewe kisiri Siri lakini sio club kufanya hivo
Kwani mzee mpili anapowachanja chale huwa ni siri!
 
Utopolo wanahama kutoka kwenye uwanja wa Azam.Watadai figisu zimezidi kutoka kwa Azam.Hii itakuwa mechi yao ya mwisho kuchezea Chamazi.Hii kashfa ya sindano imewaumbua sana.
 
Yaani Manara, yote haya kisa uafisa habari
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom