Kashfa za Yanga kuchoma sindano za kuongeza nguvu, mamlaka zichunguze

Kashfa za Yanga kuchoma sindano za kuongeza nguvu, mamlaka zichunguze

Kwa akili yako kisoda kuna fala ambaye atafanya illegal kama ile na akaacha evidence,rage akukosea kuwaita mbu3
Frustrations inaweza kufanya uwe careless na kujikuta unashindwa ku take caution

We si umeona hadi basi mlilisahau

Lini ishawahi watokea kama hiyo mkasahsu hadi basi?

Dereva naye alikula chocho akaacha basi aka request Bolt.
 
Watu walikuwa wanajiuliza, unawezaje kusajili rejected players na bado wakaonesha upinzani uwanjani?

Watu walikuwa wanajiuliza tangu lini Chama akawa na speed?

Now majibu yamekuja kuwa revealed, kuna kitu extra kinatumika.
Hata na wewe umeishia hapo kufikiri? Seriously?!?
 
Waliopeleka malalamiko ni Azam baada ya kukuta huo ushahidi wa syringes na kamera kuzibwa sio Simba.Wacha kuweweseka.Ushahidi huo ulikutwa kwenye vyumba vya kubadilishia vya Yanga.
Simba haihusiki na huo ubaradhuli wenu.
Kitu cha kwanza pipa la taka lilioonyeshwa kwenye Ile clip ni la rangi ya kijani but yanga kwenye Ile mechi walikuta pipa la rangi nyeusi, aliyetengeneza iyo clip anajua malengo yake yalikuwa ni yapi watu tulishaachana na habari za kipuuzi kama izo
 
Kama unafikra mbadala ni vizuri kubainisha kuliko kubeza maoni ya watu ambayo yapo supported na ushahidi wa video.
Sawa. Ni jambo baya kutuhumu timu kama Yanga kutumia dawa za kuongeza nguvu kirahisi hivyo kwa zama hizi bro. Jambo baya sana, unless uwe na uhakika na hizo taarifa. Kuna vitu vingi mno vya kiufundi, kiutawala, kifedha, kijamii na hata kiimani pia ambavyo Yanga imewazidi timu nyingi hapa Tanzania na nyingine nyingi tu Africa. Kabla ya kufikiria habari ya kuongeza nguvu jaribuni kufikiria kwanza hayo maeneo ambayo Yanga wamewekeza openly then mkiona mko nao sawa(timu zote anazoshindana nazo). Ni sawa leo Yanga afungwe na Mamelodi au Al Ahly aanze kusema jamaa wanatumia madawa. Pathetic
Kama unafikra mbadala ni vizuri kubainisha kuliko kubeza maoni ya watu ambayo yapo supported na ushahidi wa video.
 
Kitu cha kwanza pipa la taka lilioonyeshwa kwenye Ile clip ni la rangi ya kijani but yanga kwenye Ile mechi walikuta pipa la rangi nyeusi, aliyetengeneza iyo clip anajua malengo yake yalikuwa ni yapi watu tulishaachana na habari za kipuuzi kama izo
Ungetuwekea ushahidi wa picha ingekuwa vizuri.Kudai tu bila ushahidi wa picha kwamba walikuwa na pipa jeusi ni kupoteza muda.
Waliopeleka malalamiko na kusambaza picha ni Azam kama walivyofanya kwenye ile clip ya kufanya ulozi.
Sisi wadau wa mpira tunangoja ukweli wa hili jambo.Kwani maswali ni mengi kuliko jawabu za pipa jeusi.
 
Hivi ni rahisi namna hiyo kumchoma mchezaji professional sindano ya kuongeza nguvu dopping, na hao wachezaji ni wapita njia tu hapo yanga, yaani umuharibie mtu maisha ya soka ya kufungiwa kucheza maisha.
Na wanavyokuwaga na makesi si ungekuta kina mayele , konkon, na wengineo washatoa Siri.

Labda useme mchezaji ajibusti mwenyewe kisiri Siri lakini sio club kufanya hivo
Achana na wangese hao.
 
Back
Top Bottom