View: https://youtu.be/dOwiPeW_QG4?si=VNT4ZThdodLiWfJb
Siri ya Yanga kupata matokeo isiyostahili kipindi cha pili imebainika.
Sasa tutashinikiza mamlaka za michezo ikiwemo CAF, TFF na FIFA zifanye uchunguzi na hatua kali zichukuliwe.
Nenda kwa mateja wenzako huko AvicNjoo nikudunge
Sawa Kijili fcNenda kwa mateja wenzako huko Avic
Frustrations inaweza kufanya uwe careless na kujikuta unashindwa ku take cautionKwa akili yako kisoda kuna fala ambaye atafanya illegal kama ile na akaacha evidence,rage akukosea kuwaita mbu3
Washabiki wa Simba mnakatisha tamaa sana. Level yenu ya fikra iko chini mnoooo
View: https://youtu.be/dOwiPeW_QG4?si=VNT4ZThdodLiWfJb
Siri ya Yanga kupata matokeo isiyostahili kipindi cha pili imebainika.
Sasa tutashinikiza mamlaka za michezo ikiwemo CAF, TFF na FIFA zifanye uchunguzi na hatua kali zichukuliwe.
Hata na wewe umeishia hapo kufikiri? Seriously?!?Watu walikuwa wanajiuliza, unawezaje kusajili rejected players na bado wakaonesha upinzani uwanjani?
Watu walikuwa wanajiuliza tangu lini Chama akawa na speed?
Now majibu yamekuja kuwa revealed, kuna kitu extra kinatumika.
Kama unafikra mbadala ni vizuri kubainisha kuliko kubeza maoni ya watu ambayo yapo supported na ushahidi wa video.Hata na wewe umeishia hapo kufikiri? Seriously?!?
Kitu cha kwanza pipa la taka lilioonyeshwa kwenye Ile clip ni la rangi ya kijani but yanga kwenye Ile mechi walikuta pipa la rangi nyeusi, aliyetengeneza iyo clip anajua malengo yake yalikuwa ni yapi watu tulishaachana na habari za kipuuzi kama izoWaliopeleka malalamiko ni Azam baada ya kukuta huo ushahidi wa syringes na kamera kuzibwa sio Simba.Wacha kuweweseka.Ushahidi huo ulikutwa kwenye vyumba vya kubadilishia vya Yanga.
Simba haihusiki na huo ubaradhuli wenu.
Sawa. Ni jambo baya kutuhumu timu kama Yanga kutumia dawa za kuongeza nguvu kirahisi hivyo kwa zama hizi bro. Jambo baya sana, unless uwe na uhakika na hizo taarifa. Kuna vitu vingi mno vya kiufundi, kiutawala, kifedha, kijamii na hata kiimani pia ambavyo Yanga imewazidi timu nyingi hapa Tanzania na nyingine nyingi tu Africa. Kabla ya kufikiria habari ya kuongeza nguvu jaribuni kufikiria kwanza hayo maeneo ambayo Yanga wamewekeza openly then mkiona mko nao sawa(timu zote anazoshindana nazo). Ni sawa leo Yanga afungwe na Mamelodi au Al Ahly aanze kusema jamaa wanatumia madawa. PatheticKama unafikra mbadala ni vizuri kubainisha kuliko kubeza maoni ya watu ambayo yapo supported na ushahidi wa video.
Kama unafikra mbadala ni vizuri kubainisha kuliko kubeza maoni ya watu ambayo yapo supported na ushahidi wa video.
Ungetuwekea ushahidi wa picha ingekuwa vizuri.Kudai tu bila ushahidi wa picha kwamba walikuwa na pipa jeusi ni kupoteza muda.Kitu cha kwanza pipa la taka lilioonyeshwa kwenye Ile clip ni la rangi ya kijani but yanga kwenye Ile mechi walikuta pipa la rangi nyeusi, aliyetengeneza iyo clip anajua malengo yake yalikuwa ni yapi watu tulishaachana na habari za kipuuzi kama izo
Achana na wangese hao.Hivi ni rahisi namna hiyo kumchoma mchezaji professional sindano ya kuongeza nguvu dopping, na hao wachezaji ni wapita njia tu hapo yanga, yaani umuharibie mtu maisha ya soka ya kufungiwa kucheza maisha.
Na wanavyokuwaga na makesi si ungekuta kina mayele , konkon, na wengineo washatoa Siri.
Labda useme mchezaji ajibusti mwenyewe kisiri Siri lakini sio club kufanya hivo
Mkuu unaheshimika hapjukwaani hembu acha basi kuropoka ili uendelee kuheshimika
View: https://youtu.be/dOwiPeW_QG4?si=VNT4ZThdodLiWfJb
Siri ya Yanga kupata matokeo isiyostahili kipindi cha pili imebainika.
Sasa tutashinikiza mamlaka za michezo ikiwemo CAF, TFF na FIFA zifanye uchunguzi na hatua kali zichukuliwe.