Kashidwa kuchagua adhabu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Kashidwa kuchagua adhabu baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Nitachaguaje adhabu wakati sina matarajio ya kutembea na mke wa mtu? mtoa post tutake radhi pls
 
Yote yanawezekana ila ninachoweza kusema ni kuwa haitakuwa rahisi sana. Mwisho wa siku anaweza akanyonya yeye.

Duc in Altum


Haha ah aaah ah we jamaa unajiamini na wasela wako hao ipo siku mtataitiwa wasela mpk we mwenyewe hamchomoki ng'o.

Btw unapenda wake za watu? huoni kama unafanya dhulma kula visivyokuwa vyako?
 
Haha ah aaah ah we jamaa unajiamini na wasela wako hao ipo siku mtataitiwa wasela mpk we mwenyewe hamchomoki ng'o.

Btw unapenda wake za watu? huoni kama unafanya dhulma kula visivyokuwa vyako?
Wake za watu ni mafundi sana, sio expensive, ni waelewa, hawasumbui nk.

Duc in Altum
 
Mbona adhabu ya kifo haikuwepo maana hizo adhabu zingine ni majanga.
 
Mbona adhabu ya kifo haikuwepo maana hizo adhabu zingine ni majanga.
adhabu ya kifo ni ndogo sana ilitakiwa apate adhabu ambayo itakuwa fundisho kwa jamii.
 
Una Akili kama za [/USER] CC:
Chakaza
Ha ha ha! yaani ukaona mie ndie wa kuni cc ujumbe kama huu?
Mie mkuu huwa nashangaa sana mume akimfumania mke wake kuamua kudeal na mwanamume mwenzie kama vile hilo jike lake ni mbuzi kuwa hana akili ya kujitambua kuwa kaolewa na alipaswa kukwepa vishawishi.
Mie naona nitamuazibu mwanamume mwenzangu kama anambaka mke wangu, lakini eti mke wangu amtikisie makalio jamaa mpaka kamtamani na kumuomba naye kakubali halafu mie nakazania kupambana na mwanamume?
Utaazibu wangapi kama mkeo ni kicheche? Sii umuache tuu? Maana kila unayemkamata na mkeo unam do leo, kesho unam do mwingine nk nk jee mwishowe si utajenga tabia za kishoga za ku do watu? Usipomkamata mtu unaenda tafuta makaka poa ili ujiridhishe kwani umezoea.
Mke mwasherati dawa ni kumuacha tuu.
 
Kwani wakikutomba siku moja tu utakufa au utapungukiwa nini?
We unadhani kupoteza mbolo au macho ni kitu kizuri kupata ulemavu?
 
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu huwa anapenda sana wake za watu na hii tabia amekuwa nayo kwa muda mrefu sana.....washikaji tukimshauri anatuona maboya....

Sasa kama waswahili wasemavyo kuwa za mwizi arobaini jamaa katika mishe mishe zake akazama na mke wa mshikaji mmoja gesti wa hapa mtaani kwetu kumbe jamaa mwenye akawa ameshapata ramani nzima kuwa jamaa anaenda kumaliza mke wake.......

Mshikaji wetu akazama na mke wa jamaa kama walivyopanga....aise kumbe mwenye mke alijipanga kufanya fumanizi jamaa mwenye mke akachukua rafiki zake huko sijui aliwatoa wapi wakamtimbia mshikaji wetu gesti na kweli wakamkuta jamaa anata kuanza shuguli.....wakamkamata mshikaji wetu wakamfunga kama alivyozaliwa wakamwambia achague adhabu mojawapo kati ya zifuatazo;

1.kukatwa mashine(kiungo cha uzazi)
2.kutobolewa macho
3.kufunuliwa marinda na njemba hizo zote alizokuja nazo jamaa.......

Ila nasikia mshikaji akachagua kutobolewa macho....ninavyo wapa hii information mshikaji yuko hospitali mahututi pia amepoteza macho yake sasa swali linarudi kwako ingekuwa wewe ungechagua adhabu gani kati ya hizo tatu........

Nikutoka mkuku hapo haipo ! Iko kichwani au kufa nao
 
Hizo adhabu hakuna hata moja iliyo na unafuu,
 
kwa hiyo jamaa alishindwa kabisa kukubali kufa kiume?!
 
Back
Top Bottom