mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
wakikufumua marinda kwa siri sio ishu bora uzimaHahahaa, mimi huwa naona mnajitapa bora mfe kuliko kutolewa marinda,mbona leo mnakimbilia kufirwa tena,lahaula...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakikufumua marinda kwa siri sio ishu bora uzimaHahahaa, mimi huwa naona mnajitapa bora mfe kuliko kutolewa marinda,mbona leo mnakimbilia kufirwa tena,lahaula...
Yote yanawezekana ila ninachoweza kusema ni kuwa haitakuwa rahisi sana. Mwisho wa siku anaweza akanyonya yeye.
Duc in Altum
Nayeye akijua na mke wa mtu kwann alale na mimi?????Kwanini ulale na mke wa mtu
Wake za watu ni mafundi sana, sio expensive, ni waelewa, hawasumbui nk.Haha ah aaah ah we jamaa unajiamini na wasela wako hao ipo siku mtataitiwa wasela mpk we mwenyewe hamchomoki ng'o.
Btw unapenda wake za watu? huoni kama unafanya dhulma kula visivyokuwa vyako?
Every action has reaction.n sisi tulikaa kimya tulijua mna utani.
Duc in Altum
ha ha ha ha ha ha ha Nimechika lolKufirwa tuu hakuna namna
Ha ha ha! yaani ukaona mie ndie wa kuni cc ujumbe kama huu?Una Akili kama za [/USER] CC:
Chakaza
Hahahahaaa...... haikuwepo adhabu inayoendana na fundisho kwa jamii ila ni kukomoana tu.adhabu ya kifo ni ndogo sana ilitakiwa apate adhabu ambayo itakuwa fundisho kwa jamii.
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu huwa anapenda sana wake za watu na hii tabia amekuwa nayo kwa muda mrefu sana.....washikaji tukimshauri anatuona maboya....
Sasa kama waswahili wasemavyo kuwa za mwizi arobaini jamaa katika mishe mishe zake akazama na mke wa mshikaji mmoja gesti wa hapa mtaani kwetu kumbe jamaa mwenye akawa ameshapata ramani nzima kuwa jamaa anaenda kumaliza mke wake.......
Mshikaji wetu akazama na mke wa jamaa kama walivyopanga....aise kumbe mwenye mke alijipanga kufanya fumanizi jamaa mwenye mke akachukua rafiki zake huko sijui aliwatoa wapi wakamtimbia mshikaji wetu gesti na kweli wakamkuta jamaa anata kuanza shuguli.....wakamkamata mshikaji wetu wakamfunga kama alivyozaliwa wakamwambia achague adhabu mojawapo kati ya zifuatazo;
1.kukatwa mashine(kiungo cha uzazi)
2.kutobolewa macho
3.kufunuliwa marinda na njemba hizo zote alizokuja nazo jamaa.......
Ila nasikia mshikaji akachagua kutobolewa macho....ninavyo wapa hii information mshikaji yuko hospitali mahututi pia amepoteza macho yake sasa swali linarudi kwako ingekuwa wewe ungechagua adhabu gani kati ya hizo tatu........