Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Ukiangalia video ya kashogi wakati anachinjwa shingo na shoka alikuwa hatikisiki wala kuonyesha anapata maumivu makali (agony) pale walishamuua tayari sasa sijui walimuua kwa staili gani kwanza kabla ya kumchinja pole sana kashogi
Hatujui Ben yalimfika yapi kwenye mikono ya watekaji wake
Hatujui Ben yalimfika yapi kwenye mikono ya watekaji wake