Tetesi: Kashogi hakuumia wakati anakatwa kichwa alishakufa

Tetesi: Kashogi hakuumia wakati anakatwa kichwa alishakufa

Dokta ulimboka mlimfanya nn

Laiti video yake ingetoka basi akina mama wajawazito wangejifungua kabla ya siku zao
Tukio la kinyama walilomfanyia Alphonse Mawazo lilikuwa la kutisha zaidi ya hili la kashogi. Mawazo hawakumchoma sindano yoyote
Macho yake yalishuhudia panga na shoka vikitua mwilini mwake na kumalizikia kichwani mwake na kutupwa barabarani huku wananchi wakiendelea na shughuli za upigaji picha hata kabla hajakata roho.
Haya yote kashogi hakuyapitia. Mungu ailaze mahala pema peponi Roho ya Mpendwa wetu Mawazo aliyeuliwa kinyama bila ya hatia. May his blood curse CCM and all of it's members

Huo ndio ulikuwa mwanzo wangu wa kuwachukia wasukuma. Waarabu wana nafuu maana wao wameathiriwa na imani potofu za kidini. Lakini ndugu zetu Hawa ni njaa tu ya madaraka mpaka kufanya unyama ule.

Eeh mola kwa bahati mbaya nimekumbuka tukio la kukatwa shingo na chainsaw mwenyekiti wa cdm kwenye uchaguzi Mdogo. Ccm!!
 
Alifanyiwa kitendo kibaya sana..

Lkn na yeye alikuwa anatumika na Marekani! Yule jamaa alikuwa jasus aliyekuwa anaifanyia kazi marekani..

Mauji kama hayo yapo sana hata hiyo Marekani ndio inafanya kwa ukatili mkubwa, sema yeye ni kwa vile kajulikana na pia kwa sababu alijitambulika kama mwandishi wa habri
 
SAA yake ilirekodi kila tukio huku ikituma kwenye laptop yake
Kama yale ya MO tunaambiwa? Kuwa hata mahojiano yake na "wazungu" yapo kwenye saver ni swala la muda tuu kuwekwa hadharani.
MO hakikisha yako hadharani kabla hujapatwa na lingine la kukuondoa kihalali kisha ukweli ukijawekwa hadharani watasema ni propaganda
 
Tanzania hatujafikia huko ila tumuombe mungu tusifike ya kina kashogi video ya kashogi wakati anakatwa kichwa wakinamama wasiiangalie watablid bila kutarajia
Huna uhakika huo, ya kwetu hayaanikwi kiasi hiki, lakini hata makatili tunao kati yetu.
 
Back
Top Bottom