Tetesi: Kashogi hakuumia wakati anakatwa kichwa alishakufa

Tetesi: Kashogi hakuumia wakati anakatwa kichwa alishakufa

Tanzania hatujafikia huko ila tumuombe mungu tusifike ya kina kashogi video ya kashogi wakati anakatwa kichwa wakinamama wasiiangalie watablid bila kutarajia
Nipe tofauti na mtu kumiminiwa risasi 38. Unajuwa ni maumivu (agony) kiasi gani aliyapata?
 
Video ile haifai kuwekwa hapa. Imeniharibia siku yangu kabisa. Ila ukweli ni kuwa kashogi alishazimia kabla ya kukatwa ile shingo kwa shoka. Sababu ukiangalia wakati anakatwa utaona vidole vya mikono vinahisi kitu kisichokwaida. Vinafinya[emoji24][emoji24]
Ni kweli hata Mimi nimeiangalia kwa makini nimeona vidole alivyofungwa mikono nyuma nikama vinatoa tafsiri kwamba ubongo unatambua kinachoendelea
 
Huyu kashogi hakusoma alama za nyakati walahi, Au ndio kifo kilikuwa kinamwita na huku mapenzi yamepamba moto na bibie, pesa alikuwa nayo nyingi sana na mtoto wa mfalme ni mwendawazimu, ya nini kushindana naye walahi
Duh NACHAGUA KUISHI WALAHI

Baba yako aliowapoteza huzani kwamba sio sawa?

Unashinda kutwa kucha kushangilia maovu ya akina mwana mfalme wa tz Dab
 
Back
Top Bottom