Inasemwa walimdunga sindano ya usingizi...Ukiangalia video ya kashogi wakati anachinjwa shingo na shoka alikuwa hatikisiki wala kuonyesha anapata maumivu makali (agony) pale walishamuua tayari sasa sijui walimuua kwa staili gani kwanza kabla ya kumchinja pole sana kashogi
Hatujui Ben yalimfika yapi kwenye mikono ya watekaji wake
Tanzania hatujafikia huko ila tumuombe mungu tusifike ya kina kashogi video ya kashogi wakati anakatwa kichwa wakinamama wasiiangalie watablid bila kutarajia
Tanzania hatujafikia huko ila tumuombe mungu tusifike ya kina kashogi video ya kashogi wakati anakatwa kichwa wakinamama wasiiangalie watablid bila kutarajia
Kuna video kabisa? Iko wapi?Modes wataitoa tu maana naona hata youtube wameiondoa