Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Hata hio tanzanite ipo kenya taita taveta japo sio kwa kiasi kikubwa hio reef ya mererani is the same reef ya taita najua utabisha hili lakini Kama umeshughulika na biashara ya precious stones you ought to know,Kama hujafanya hio biashara utabisha .Hahahaha, kama Kenya ina gold ya $500B, basi Tanzania itakua na dhahabu yenye thamani ya $500trilion.
Hao ndio walivyo, wanatapatapa nchi imeshakwama, hakuna kitu cha maana zaidi ya GDP, Corona, rushwa, locust, njaa, kipindupindu, unemployment, vyote vimewashinda.$107 B mmeingia lini? Ama ni projection?
Hakuna kitu ambacho Kenya hakikosekani. Master plan ya Abuja ilitoka Kenya, BRT buses za Tanzania zilitengenezwa Kenya, Kenya iko na best quality oil kuliko zote duniani yenye kudumu kwa miaka 300, Kenya iko na gold ya $500B, Kenya iko na Tanzania nyingi, Kenya ipo na underground water mengi kule Turkana kuliko nchi yoyote hapa duniani SGR ya Kenya is Chines first class, the best SGR than any in Africa. HahahahaHata hio tanzanite ipo kenya taita taveta japo sio kwa kiasi kikubwa hio reef ya mererani is the same reef ya taita najua utabisha hili lakini Kama umeshughulika na biashara ya precious stones you ought to know,Kama hujafanya hio biashara utabisha .
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Mining sector is the only sector ambayo bado ina lala usingizi wa pono in Kenya,ukiichangamkie hapa kenya itakulisha vizuri.Hahahaha, kama Kenya ina gold ya $500B, basi Tanzania itakua na dhahabu yenye thamani ya $500trilion.
Hahaha hahaha hahaha ati wako na Tanzanite.Hakuna kitu ambacho Kenya hakikosekani. Master plan ya Abuja ilitoka Kenya, BRT buses za Tanzania zilitengenezwa Kenya, Kenya iko na best quality oil kuliko zote duniani yenye kudumu kwa miaka 300, Kenya iko na gold ya $500B, Kenya iko na Tanzania nyingi, Kenya ipo na underground water mengi kule Turkana kuliko nchi yoyote hapa duniani SGR ya Kenya is Chines first class, the best SGR than any in Africa. Hahahaha
Sipo hapa kwa ajili ya ubishi,ukikutana na watanzania ambao wanafanya mining kenya watakwambia. Toka kwa kulima nyanya jaribu mining , utajua ukweli hata Ile nchi ambayo Ina gold kidogo tu na how to access it Kama wewe ni mpambanaji utajua ukweli.Hakuna kitu ambacho Kenya hakikosekani. Master plan ya Abuja ilitoka Kenya, BRT buses za Tanzania zilitengenezwa Kenya, Kenya iko na best quality oil kuliko zote duniani yenye kudumu kwa miaka 300, Kenya iko na gold ya $500B, Kenya iko na Tanzania nyingi, Kenya ipo na underground water mengi kule Turkana kuliko nchi yoyote hapa duniani SGR ya Kenya is Chines first class, the best SGR than any in Africa. Hahahaha
Mipaka zinafunguliwa mosi agosti nenda taita ufanye utafiti mwenyewe utaleta taarifa.Hahaha hahaha hahaha ati wako na Tanzanite.
Labda kenyanite maana Tanzanite inapatikana nchi moja tu kwa sasa nayo ni Tanzania.Mipaka zinafunguliwa mosi agosti nenda taita ufanye utafiti mwenyewe utaleta taarifa.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Look at pokoti gold,hio sio lazima uteremshe shaft.Hakuna kitu ambacho Kenya hakikosekani. Master plan ya Abuja ilitoka Kenya, BRT buses za Tanzania zilitengenezwa Kenya, Kenya iko na best quality oil kuliko zote duniani yenye kudumu kwa miaka 300, Kenya iko na gold ya $500B, Kenya iko na Tanzania nyingi, Kenya ipo na underground water mengi kule Turkana kuliko nchi yoyote hapa duniani SGR ya Kenya is Chines first class, the best SGR than any in Africa. Hahahaha
Ebu tafuta soup utoe hiyo hangover ya chang'aa hapo kibera,kenya toka lini ikawa na gold!Kenya Ina gold kibao tu watu hawajui siku moja fanya tu field tour , utajua,nenda kule macalder mines in migori upate watanzania wenzako wamejaa kule, nenda kakamega na vihiga upate akina Jerome walivyorundikana kule ndio wachorongaji wakuu, nenda pokoti gold ya pokoti ni 96% pure haihitaji mercury,huku leaching is the order of the day.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Kenya ina kila kitu hapa duniani, ila watu hawajui tu. Sasa kama watu hawajui, yeye alijuaje kama kuna dhahabu kibao?. Wakenya ni watu wa kujisifu na kujikweza sana.Ebu tafuta soup utoe hiyo hangover ya chang'aa hapo kibera,kenya toka lini ikawa na gold!
Nimekuambia hakuna nchi duniani ambayo haina dhahabu, what matters is Quantity & Concentration to make it economically viable ". Kenya ipo kiwango cha small scale haiwezi kuvutia makampuni makubwa.Look at pokoti gold,hio sio lazima uteremshe shaft.View attachment 1503503
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Bro achaga ubishi, minerals zote dunia nzima zinafataga reef, inasemekana hivyo lakini nimekwambia nenda tu taita ufanye utafiti mwenyeweLabda kenyanite maana Tanzanite inapatikana nchi moja tu kwa sasa nayo ni Tanzania.
We unajua hizo machine ni za Nini?Ebu tafuta soup utoe hiyo hangover ya chang'aa hapo kibera,kenya toka lini ikawa na gold!
Tuwekee huo utafiti uliofanyika ili tujionee, au wewe ni wale wa maneno ya kusikia?Bro achaga ubishi, minerals zote dunia nzima zinafataga reef, inasemekana hivyo lakini nimekwambia nenda tu taita ufanye utafiti mwenyewe
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Tupe evidence kuwa Tanzanite inapatikana taita na sio bla bla maana unakuwaga na ubishi wa kijinga mnoo.Bro achaga ubishi, minerals zote dunia nzima zinafataga reef, inasemekana hivyo lakini nimekwambia nenda tu taita ufanye utafiti mwenyewe
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Sihitaji utafiti hio ni sector ambayo naifahamu vizuri Sana.Tuwekee huo utafiti uliofanyika ili tujionee, au wewe ni wale wa maneno ya kusikia?
Acacia is here prospecting .Nimekuambia hakuna nchi duniani ambayo haina dhahabu, what matters is Quantity & Concentration to make it economically viable ". Kenya ipo kiwango cha small scale haiwezi kuvutia makampuni makubwa.
Tanzania sasa hivi ni namba Tatu Africa katika uzalishaji wa dhahabu, tunamkimbiza Ghana. Kenya sidhani kama hata namba 30 Africa mtaonekana.
Unategemea na shughuli unayoifanya kama unalima nusu ekta au 1 wewe na hao jirani zako tena Kwa lilimo cha kizaman unategemea kipato kinaongezeka vipi kwenu ? Wastani wenu utakua upo Kwa wengine kuna wengine Kwa mwaka alikua anafunga na faida ya milioni 3 sasa hivi Kwa mwaka kipato chake milioni 10 sasa hapo anakua amemiliki pato la watu wa 4 Kwa mwaka ambaye mtu mwenyewe labda ndio wewe Kwa kua ujacheza vizur kwenye namba yako bro.Hili eneo kwangu lilishagonga mwaba kitambo sana ubongo unashindwa kutasiri ili jambo na likitasiri halielewi coz mi maisha yangu ni yale kipato ni kile kile wanaonizunguka nao namimi ni mulemule au kuongezeka huku kuna wahusu baadhi ya watu na baadhi ya watu hawausiki?!