Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ni Mara 4 zaidi ya Kenya, Tanzania kuzipita Ethiopia na Rwanda

Hahahaha, kama Kenya ina gold ya $500B, basi Tanzania itakua na dhahabu yenye thamani ya $500trilion.
Hata hio tanzanite ipo kenya taita taveta japo sio kwa kiasi kikubwa hio reef ya mererani is the same reef ya taita najua utabisha hili lakini Kama umeshughulika na biashara ya precious stones you ought to know,Kama hujafanya hio biashara utabisha .

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu ambacho Kenya hakikosekani. Master plan ya Abuja ilitoka Kenya, BRT buses za Tanzania zilitengenezwa Kenya, Kenya iko na best quality oil kuliko zote duniani yenye kudumu kwa miaka 300, Kenya iko na gold ya $500B, Kenya iko na Tanzania nyingi, Kenya ipo na underground water mengi kule Turkana kuliko nchi yoyote hapa duniani SGR ya Kenya is Chines first class, the best SGR than any in Africa. Hahahaha
 
Hahaha hahaha hahaha ati wako na Tanzanite.
 
Hakuna kitu ambacho Kenya hakikosekani. Master plan ya Abuja ilitoka Kenya, BRT buses za Tanzania zilitengenezwa Kenya, Kenya iko na best quality oil kuliko zote duniani yenye kudumu kwa miaka 300, Kenya iko na gold ya $500B, Kenya iko na Tanzania nyingi, Kenya ipo na underground water mengi kule Turkana kuliko nchi yoyote hapa duniani SGR ya Kenya is Chines first class, the best SGR than any in Africa. Hahahaha
Sipo hapa kwa ajili ya ubishi,ukikutana na watanzania ambao wanafanya mining kenya watakwambia. Toka kwa kulima nyanya jaribu mining , utajua ukweli hata Ile nchi ambayo Ina gold kidogo tu na how to access it Kama wewe ni mpambanaji utajua ukweli.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu ambacho Kenya hakikosekani. Master plan ya Abuja ilitoka Kenya, BRT buses za Tanzania zilitengenezwa Kenya, Kenya iko na best quality oil kuliko zote duniani yenye kudumu kwa miaka 300, Kenya iko na gold ya $500B, Kenya iko na Tanzania nyingi, Kenya ipo na underground water mengi kule Turkana kuliko nchi yoyote hapa duniani SGR ya Kenya is Chines first class, the best SGR than any in Africa. Hahahaha
Look at pokoti gold,hio sio lazima uteremshe shaft.
IMG-20190206-WA0002.jpg

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kenya Ina gold kibao tu watu hawajui siku moja fanya tu field tour , utajua,nenda kule macalder mines in migori upate watanzania wenzako wamejaa kule, nenda kakamega na vihiga upate akina Jerome walivyorundikana kule ndio wachorongaji wakuu, nenda pokoti gold ya pokoti ni 96% pure haihitaji mercury,huku leaching is the order of the day.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Ebu tafuta soup utoe hiyo hangover ya chang'aa hapo kibera,kenya toka lini ikawa na gold!
 
Muhimu ni kwamba lazima muishi maisha halisi na mpunguze kujipa matumaini yasiyokuwepo. Kenya mpo na Chai kwa wingi, hiyo haina maana kwamba nchi zingine hakuna Chai, lakini haziwezi kutajwa mbele ya Kenya.

Katika dhahabu, nchi zote kuna dhahabu, Rwanda na Burundi zina dhahabu nyingi kuliko Kenya, lakini bado hazitajiki. Sio kwamba Kenya haina dhahabu, ipo lakini ni kiwango kidogo sana.

DRC inayo dhahabu zaidi ya mara 10 ya dhahabu ya Kenya na Uganda "combined", lakini bado sio miongoni mwa top 4 gold producers in Afrika.
 
Look at pokoti gold,hio sio lazima uteremshe shaft.View attachment 1503503

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Nimekuambia hakuna nchi duniani ambayo haina dhahabu, what matters is Quantity & Concentration to make it economically viable ". Kenya ipo kiwango cha small scale haiwezi kuvutia makampuni makubwa.

Tanzania sasa hivi ni namba Tatu Africa katika uzalishaji wa dhahabu, tunamkimbiza Ghana. Kenya sidhani kama hata namba 30 Africa mtaonekana.
 
Acacia is here prospecting .

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Hili eneo kwangu lilishagonga mwaba kitambo sana ubongo unashindwa kutasiri ili jambo na likitasiri halielewi coz mi maisha yangu ni yale kipato ni kile kile wanaonizunguka nao namimi ni mulemule au kuongezeka huku kuna wahusu baadhi ya watu na baadhi ya watu hawausiki?!
Unategemea na shughuli unayoifanya kama unalima nusu ekta au 1 wewe na hao jirani zako tena Kwa lilimo cha kizaman unategemea kipato kinaongezeka vipi kwenu ? Wastani wenu utakua upo Kwa wengine kuna wengine Kwa mwaka alikua anafunga na faida ya milioni 3 sasa hivi Kwa mwaka kipato chake milioni 10 sasa hapo anakua amemiliki pato la watu wa 4 Kwa mwaka ambaye mtu mwenyewe labda ndio wewe Kwa kua ujacheza vizur kwenye namba yako bro.
 
Back
Top Bottom