Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Hata hio tanzanite ipo kenya taita taveta japo sio kwa kiasi kikubwa hio reef ya mererani is the same reef ya taita najua utabisha hili lakini Kama umeshughulika na biashara ya precious stones you ought to know,Kama hujafanya hio biashara utabisha .Hahahaha, kama Kenya ina gold ya $500B, basi Tanzania itakua na dhahabu yenye thamani ya $500trilion.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app