Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Wao huita chungu. Yule wa chungu cha sita keshaolewa mara tano na kuachika. Sasa yupo kwenye hicho chungu cha sita. Halafu wao wanaona raha Sana kuwa na vyungu vingi!
 
Wewe acha ujinga wako Mtume Muhammad sio babu yako au sio kabila lako, hiyo tabia ya kuchokoza waislamu kila Mada ya jf acheni kibisa, chuki zako zipeleke kwenu.
Kusema ukweli unaohusu sunna ni uchokozi?kobazi bhana hamueleweki yaani!
 
KIINI CHA TATIZO NI KUPOROMOKA KWA MAADILI HASA YA NGONO

MTOTO MDOGO ANAJUA KILA KITU KUHUSU KUGEGEDA NA KUGEGEDANA UNATEGEMEA NINI
 
apo matatizo yote chanzo chake ni ukosefu wa elimu tu. mzazi asiyeelimika ni janga kwa kizazi chake.
Elimu ndio imetufikisha hapo vitoto vya darasa la sita shuleni vinacheza kibaba baba

Mkuu mimi ni mwalimu huku shuleni hali ni mbaya sana niamini
 
Hii mpya kwenye ubongo wangu🙌🏾
Ndiyo maana mzungu anatupa dawa za HIV BURE LENGO KUU SIYO WANATUPENDA BALI LENGO NI KUPUNGUZA LIFETIME YA MWAFRICA KWA KUPITIA PASI NDEFU YA KIZAZI...watu wenye akili ndogo wanaona kuwa mzungu ni mjinga kutoa dawa za bure ...bila ya dawa za bure ukimwi ungekuwa mchache sana hivyo lengo ni ugonjwa uzidi na sisi waafrica kwa kukosa akili tunajipongeza kuwa dawa zipotena za bure ukimwi siyo hatari ...nyuma ya kapeti malengo ya mzungu kupunguza lifetime ya kizazi cha muafrika yanakuwa yametimia ...ukizaa mtoto mwenye vvu hakikisha anakimbiza maisha yake ya kifamilia kwa kasi kubwa maana life spani yake ni miama 0 hadi 35 tu asilimia 99% wanakuwa marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…