mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
KaribuHiyo ID yako ya Mlinzi Mlala fofofo imenichekesha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuHiyo ID yako ya Mlinzi Mlala fofofo imenichekesha sana
Kwan ipoje mbona ya kawaida tuKaribu
Wao huita chungu. Yule wa chungu cha sita keshaolewa mara tano na kuachika. Sasa yupo kwenye hicho chungu cha sita. Halafu wao wanaona raha Sana kuwa na vyungu vingi!Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.
Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM.
Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha.
Kwanza sifa ya mkoa huu ni hii
1. Mkoa huu kwa kutazama tu( obervation) una Wanawake wachache kuliko wanaume. Yaani si ajabu ukitembea ukakutana na wanaume 20 na mwanamke mmoja au hakuna kabisa. Utasema labda wanawake wanashinda majumbani.
Ukienda majumbani unakuta wanaume 6 , mwanamke Mmoja tena Mke wa Baba Mwenye nyumba.
2. Kutokana na sababu hiyo namba 1, wanawake huku wana thamani kubwa sana. Nawaonea huruma wanaum3 wa huku.
3. Wanawake hao wachache waliopo asilimia 70-90% ni Single mazas.
4. Hao Single mazas ukiwaona unaungiwa na huruma, wamechoka balaa. Maisha magumu mno.
Ni kawaida kukutana na wanawake umri kati ya 17 hadi 30 wakiwa kundi la watu 10-15 wote wamebeba watoto wachanga
Hali ni mbaya sana. Wanawake hawafurahii maisha ya ujana wao. At her 20yrs tayari ana watoto watatu, ameachwa, ana madeni.
Something has to be done aisee.
kaifurahia, hajasema kama ni ya maajabuKwan ipoje mbona ya kawaida tu
😃😃Wao huita chungu. Yule wa chungu cha sits keshaolewa mara tano na kuachika. Sasa yupo kwenye hicho chungu cha sita. Halafu wao wanaona raha Sana kuwa na vyungu vingi!
Anakuwaje mlinzi harafu analalq fofofokaifurahia, hajasema kama ni ya maajabu
Ipo verified ulitumia njia gan kuverify mkuukaifurahia, hajasema kama ni ya maajabu
Magu ali insist kuzaa bila kikomo unategemea nini?Serikali ni kama imetelekeza kabisa suala la elimu na huduma za uzazi wa mpango kwa umma.
Sisikii tena zile kampeni za nyota ya kijani katika redio!
Kusema ukweli unaohusu sunna ni uchokozi?kobazi bhana hamueleweki yaani!Wewe acha ujinga wako Mtume Muhammad sio babu yako au sio kabila lako, hiyo tabia ya kuchokoza waislamu kila Mada ya jf acheni kibisa, chuki zako zipeleke kwenu.
Mkuu aende na isimikinyi kabisaHujafika Igowole mufindi utalia kabisa
Noma sana!Wa
po
Mkuu mwenyeweTayar mkuu
apo matatizo yote chanzo chake ni ukosefu wa elimu tu. mzazi asiyeelimika ni janga kwa kizazi chake.KIINI CHA TATIZO NI KUPOROMOKA KWA MAADILI HASA YA NGONO
MTOTO MDOGO ANAJUA KILA KITU KUHUSU KUGEGEDA NA KUGEGEDANA UNATEGEMEA NINI
Elimu ndio imetufikisha hapo vitoto vya darasa la sita shuleni vinacheza kibaba babaapo matatizo yote chanzo chake ni ukosefu wa elimu tu. mzazi asiyeelimika ni janga kwa kizazi chake.
SawasawaNipo sana tu.
🏃🏾♀️Mkuu mwenyewe
Ndiyo maana mzungu anatupa dawa za HIV BURE LENGO KUU SIYO WANATUPENDA BALI LENGO NI KUPUNGUZA LIFETIME YA MWAFRICA KWA KUPITIA PASI NDEFU YA KIZAZI...watu wenye akili ndogo wanaona kuwa mzungu ni mjinga kutoa dawa za bure ...bila ya dawa za bure ukimwi ungekuwa mchache sana hivyo lengo ni ugonjwa uzidi na sisi waafrica kwa kukosa akili tunajipongeza kuwa dawa zipotena za bure ukimwi siyo hatari ...nyuma ya kapeti malengo ya mzungu kupunguza lifetime ya kizazi cha muafrika yanakuwa yametimia ...ukizaa mtoto mwenye vvu hakikisha anakimbiza maisha yake ya kifamilia kwa kasi kubwa maana life spani yake ni miama 0 hadi 35 tu asilimia 99% wanakuwa marehemuHii mpya kwenye ubongo wangu🙌🏾