Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.

Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM.

Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha.

Kwanza sifa ya mkoa huu ni hii

1. Mkoa huu kwa kutazama tu( obervation) una Wanawake wachache kuliko wanaume. Yaani si ajabu ukitembea ukakutana na wanaume 20 na mwanamke mmoja au hakuna kabisa. Utasema labda wanawake wanashinda majumbani.

Ukienda majumbani unakuta wanaume 6 , mwanamke Mmoja tena Mke wa Baba Mwenye nyumba.

2. Kutokana na sababu hiyo namba 1, wanawake huku wana thamani kubwa sana. Nawaonea huruma wanaum3 wa huku.

3. Wanawake hao wachache waliopo asilimia 70-90% ni Single mazas.
4. Hao Single mazas ukiwaona unaungiwa na huruma, wamechoka balaa. Maisha magumu mno.

Ni kawaida kukutana na wanawake umri kati ya 17 hadi 30 wakiwa kundi la watu 10-15 wote wamebeba watoto wachanga

Hali ni mbaya sana. Wanawake hawafurahii maisha ya ujana wao. At her 20yrs tayari ana watoto watatu, ameachwa, ana madeni.

Something has to be done aisee.
Wao huita chungu. Yule wa chungu cha sita keshaolewa mara tano na kuachika. Sasa yupo kwenye hicho chungu cha sita. Halafu wao wanaona raha Sana kuwa na vyungu vingi!
 
Wewe acha ujinga wako Mtume Muhammad sio babu yako au sio kabila lako, hiyo tabia ya kuchokoza waislamu kila Mada ya jf acheni kibisa, chuki zako zipeleke kwenu.
Kusema ukweli unaohusu sunna ni uchokozi?kobazi bhana hamueleweki yaani!
 
KIINI CHA TATIZO NI KUPOROMOKA KWA MAADILI HASA YA NGONO

MTOTO MDOGO ANAJUA KILA KITU KUHUSU KUGEGEDA NA KUGEGEDANA UNATEGEMEA NINI
 
Hii mpya kwenye ubongo wangu🙌🏾
Ndiyo maana mzungu anatupa dawa za HIV BURE LENGO KUU SIYO WANATUPENDA BALI LENGO NI KUPUNGUZA LIFETIME YA MWAFRICA KWA KUPITIA PASI NDEFU YA KIZAZI...watu wenye akili ndogo wanaona kuwa mzungu ni mjinga kutoa dawa za bure ...bila ya dawa za bure ukimwi ungekuwa mchache sana hivyo lengo ni ugonjwa uzidi na sisi waafrica kwa kukosa akili tunajipongeza kuwa dawa zipotena za bure ukimwi siyo hatari ...nyuma ya kapeti malengo ya mzungu kupunguza lifetime ya kizazi cha muafrika yanakuwa yametimia ...ukizaa mtoto mwenye vvu hakikisha anakimbiza maisha yake ya kifamilia kwa kasi kubwa maana life spani yake ni miama 0 hadi 35 tu asilimia 99% wanakuwa marehemu
 
Back
Top Bottom