Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

True
 
Kwa sàsa hali itakuwa mbàya zaidi, RAIS karuhusu wazae halafu warudi shule kuendelea na masomo unafikiri hii hali nani ata intervene tena?
TENA RÀIS MWANAMKE.
Hili sio tatizo, huwezi kuwa na taifa la watu wajinga kisa wamezaa mapema tu. Tatizo lilianza na yule aliyewaambia watu wafyatue tu elimu ni bure, hapo ndipo mambo yote ya uzazi wa mpango yalitupwa kwenye dustbin rasmi.
 
Rural area iko severe zaidi kuliko maeneo ya urban uko sahihi umasikini unachangia hasa!
 
Mbona hata miaka 14 ni mtu mzima ..tuna danganya na wazungu kuhusu utoto...miaka 14 ni kijana mdogo anaelekea kuwa kijana kamili miaka 18
 
Kuna matatizo mengine ya jamii hayawezi kutibiwa yenyewe kama yenyewe. Matatizo mengine mpaka kitibiwe kitu kingine kabisa ili tatizo lile lijishepu na kukaa sawa. Hawa wanaozaa mapema tayari walikuwa kwenye risk ya kupata ukimwi kwani kinga haikutumika hapo. Rashidi Jololo ana Ngo inapambana na ukimwi kufikia 95-95-95 ya mwaka 2030 cha ajabu humu hatokei
Rural area iko severe zaidi kuliko maeneo ya urban uko sahihi umasikini unachangia hasa!
Hizo kesi hazichomoki huko umaskinini ni utakuta hata care ngazi ya familia kwa mtoto aliye katika rika hatarishi haina viwango kizuri. Niliwah kukutana binti mdogo mbagala pale zakiem kama 17 hiv katoroka huko. Watu wanajadili namna ya kumsaidia na jamaa mmoja akajizolea mke mbichi palepale
 
Kama females ni wachache, acha wazaane sana kuziba pengo, ila najua hii ni changamsha JF haina uhalisia
Ndiyo uhalisia huo mkuu au haujawahi kuishi rural area? Au upo kwa shemeji hapo kimara bonyokwa ukimsaidia dada kufua nguo za ndani za shemeji na kubadilisha nepi mtoto? Tembea bwana au umemaliza chuo mwaka huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…