Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Hawa KATAA NDOA wanatuharibia Taifa, wanazaa hovyo hovyo na kutelekeza watoto
 
Yaani 15 anakulazimisha abebe mimba? Kabla ya ndoa? Je anafikira atamleaje bila misingi yoyote ya kiuchumi?

Wanarahisisha sana maisha mwisho wa siku wanaishi kama jehanamu
 
Kaka Baadhi ya Wanawake wanaishi Jehanamu. Imagine msichana kama huyu ndio maisha yake mpaka anazeeka au anakufa.
Tafiti za sample ndogo majibu yake hayana credibility

Ni kweli wanazaa mapema ila sio fukara kihivyo

Huku wanavuna kunde, mahindi, mbaazi, ufuta, korosho na vyote vina soko

Ardhi ya kutosha, mvua za kutosha


Hawalali njaa
 
Niliwh kufanya intern moja kwenye NgO moja kubwa hapa Tz wale jamaa walikuwa wanawapa favour wtu wa tamisemi kupata credits na vipaumbele kwenye hao funders ikiwemo recommendations. Sijawahi kuona ujanja ujanja kama pale asee jamaa hawana wataalam kabisa yani. Mnaya zaid NgO ni ya afya lakin hakuna mtaalam wa afya ya jamii hata mmoja. Wamejazana watoto wa muhas tu
USAID waligomaga kutoa fund kwa sabab ya ukaribu wao na wafanyakazi wake. Fund inaombwa kama mtu anavyoomba maji ya kunywa
 
Serikali ni kama imetelekeza kabisa suala la elimu na huduma za uzazi wa mpango kwa umma.

Sisikii tena zile kampeni za nyota ya kijani katika redio!
Wafadhili wamejitoa wanawekeza kwenye Uchawa tu
 
Umeorodhesha mambo mtanhuka sana. Asante
 
Wafadhili walijitoa kutokana na misimamo ya jiwe kuwa kinyume na uzazi wa mpango. Ili wafadhili warudi serikali inabidi ionyeshe nia tena kwanza kwamba inathamini uzazi wa mpango.
Mbona mambo ya Yaas yamerudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…