Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Amesema uongo ?Wewe acha ujinga wako Mtume Muhammad sio babu yako au sio kabila lako, hiyo tabia ya kuchokoza waislamu kila Mada ya jf acheni kibisa, chuki zako zipeleke kwenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema uongo ?Wewe acha ujinga wako Mtume Muhammad sio babu yako au sio kabila lako, hiyo tabia ya kuchokoza waislamu kila Mada ya jf acheni kibisa, chuki zako zipeleke kwenu.
Yaani ni hatari sana. Wanaume ws huko hawana kinyaaRuangwa na lindi binti wa miaka 17 kama hajazaa anaanza kuwa na wasiwasi kuwa labda Hana kizazi
Hawa KATAA NDOA wanatuharibia Taifa, wanazaa hovyo hovyo na kutelekeza watotoKuna matatizo mengine ya jamii hayawezi kutibiwa yenyewe kama yenyewe. Matatizo mengine mpaka kitibiwe kitu kingine kabisa ili tatizo lile lijishepu na kukaa sawa. Hawa wanaozaa mapema tayari walikuwa kwenye risk ya kupata ukimwi kwani kinga haikutumika hapo. Rashidi Jololo ana Ngo inapambana na ukimwi kufikia 95-95-95 ya mwaka 2030 cha ajabu humu hatokei
Hizo kesi hazichomoki huko umaskinini ni utakuta hata care ngazi ya familia kwa mtoto aliye katika rika hatarishi haina viwango kizuri. Niliwah kukutana binti mdogo mbagala pale zakiem kama 17 hiv katoroka huko. Watu wanajadili namna ya kumsaidia na jamaa mmoja akajizolea mke mbichi palepale
Acha ujinga dogo.....dada yako unaweza ruhusu?Mbona hata miaka 14 ni mtu mzima ..tuna danganya na wazungu kuhusu utoto...miaka 14 ni kijana mdogo anaelekea kuwa kijana kamili miaka 18
Yaani 15 anakulazimisha abebe mimba? Kabla ya ndoa? Je anafikira atamleaje bila misingi yoyote ya kiuchumi?Basi ukifika Singida ndani ndani utalia sana kiongozi. Mwanamke wa miaka 32 Singida anategemewa kuwa bibi wakati wowote.
Wanabeba mimba wakiwa wadogo sana na ni kitu cha kawaida kwao miaka 15 ni mtu mzima kabisa na analazimisha yeye mwenyewe kubeba mimba.
Tafiti za sample ndogo majibu yake hayana credibilityKaka Baadhi ya Wanawake wanaishi Jehanamu. Imagine msichana kama huyu ndio maisha yake mpaka anazeeka au anakufa.
Tanzania ilikuwa kwenye kufikia 90-90-90. Walivyoenda kwenye mikutano ya PEPFAR na kusikia Zimbabwe inapongezwa kwa kufikia 95-95-95, ghafla Data za Tanzania zikaanza kusoma 95-95-95, wakati hali ya maambukizi inazidi kuwa worse.
Hao wenye NGOs za mapambano ya ngoma wanajua kuandaa reports kwa ajili ya kumfurahisha donor tu, bila kuzingatia impacts waliyopelekea kwenye jamii, huku situation inazidi kuwa mbaya.
Lengo la NGOs za UKIMWI ni like ambalo halijaandikwa, yaani ni sehemu ya kuboresha uchumi na maisha ya watu wa hizo NGOs kuliko wahanga.
wa kulaumiwa siyo NGOs pekee, pia serikali , sababu ndiyo inaweka mazingira hayo, wasimamizi wa vitengo serikalinibwanazituhumu NGOs kupewa hela nyingi ambazo wanakul wenyewe halafu wanataka rating ya serikali. NGOs zina lazimika ku comply na unofficial demands za waenye mamlaka na hapo zinaamua kushiriki dhambi ili ziwe salama kwa kpewa ratings, wanatafuta namna ya kuwakatia mafungu kupitia tenders, tranings, capacity buildings na supervision, ajira n.k.
Poleni sana mwe bandu ba Kyala
Wafadhili wamejitoa wanawekeza kwenye Uchawa tuSerikali ni kama imetelekeza kabisa suala la elimu na huduma za uzazi wa mpango kwa umma.
Sisikii tena zile kampeni za nyota ya kijani katika redio!
Hao dini yao ndio ilivyoAcha ujinga dogo.....dada yako unaweza ruhusu?
Kaka wamechoka sana hadi sura hazina nuruTafiti za sample ndogo majibu yake hayana credibility
Ni kweli wanazaa mapema ila sio fukara kihivyo
Huku wanavuna kunde, mahindi, mbaazi, ufuta, korosho na vyote vina soko
Ardhi ya kutosha, mvua za kutosha
Hawalali njaa
Nakubali nakubali 😂Tuliambiwa tusiweke mayai yote kwenye kapu moja.
Wafadhili walijitoa kutokana na misimamo ya jiwe kuwa kinyume na uzazi wa mpango. Ili wafadhili warudi serikali inabidi ionyeshe nia tena kwanza kwamba inathamini uzazi wa mpango.Wafadhili wamejitoa wanawekeza kwenye Uchawa tu
Yani uibebe wewe alafu ailee yeye?na kwel aseee,,na hii mimba sjui kama atailea kwel 😂
Umeorodhesha mambo mtanhuka sana. AsanteTanzania ilikuwa kwenye kufikia 90-90-90. Walivyoenda kwenye mikutano ya PEPFAR na kusikia Zimbabwe inapongezwa kwa kufikia 95-95-95, ghafla Data za Tanzania zikaanza kusoma 95-95-95, wakati hali ya maambukizi inazidi kuwa worse.
Hao wenye NGOs za mapambano ya ngoma wanajua kuandaa reports kwa ajili ya kumfurahisha donor tu, bila kuzingatia impacts waliyopelekea kwenye jamii, huku situation inazidi kuwa mbaya.
Lengo la NGOs za UKIMWI ni like ambalo halijaandikwa, yaani ni sehemu ya kuboresha uchumi na maisha ya watu wa hizo NGOs kuliko wahanga.
wa kulaumiwa siyo NGOs pekee, pia serikali , sababu ndiyo inaweka mazingira hayo, wasimamizi wa vitengo serikalinibwanazituhumu NGOs kupewa hela nyingi ambazo wanakul wenyewe halafu wanataka rating ya serikali. NGOs zina lazimika ku comply na unofficial demands za waenye mamlaka na hapo zinaamua kushiriki dhambi ili ziwe salama kwa kpewa ratings, wanatafuta namna ya kuwakatia mafungu kupitia tenders, tranings, capacity buildings na supervision, ajira n.k.
Poleni sana mwe bandu ba Kyala
Mbona mambo ya Yaas yamerudi?Wafadhili walijitoa kutokana na misimamo ya jiwe kuwa kinyume na uzazi wa mpango. Ili wafadhili warudi serikali inabidi ionyeshe nia tena kwanza kwamba inathamini uzazi wa mpango.
HahahaYani uibebe wewe alafu ailee yeye?
Kwaio nilie tu sasaYani uibebe wewe alafu ailee yeye?
Hahahaha 😂Tuliambiwa tusiweke mayai yote kwenye kapu moja.
Hivi kulea mimba huwa ni kuifanyaje? Si iko tumboni bado?Kwaio nilie tu sasa