Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Verysad, Tanzania inaendeshwa ki CCM sana.
 
Kwenye kuwa na watoto shida huwa sio umri bali shida ni ana chanzo kipi cha kiuchumi?.
Tatizo ngozi nyeusi tuna laana ya familia ndiyo maana huwa atujali uchumi wa familia ...uchumi wa familia ndiyo nguzo ya familia ....hii ndiyo inasababisha kuwa ni ngumu sana familia za kiafrika kuwa tajiri na utajiri wao kuwa endelevu .
 
Uchumi ni ngumu kama kijana wa miaka 25 tu tayari ana mademu watatu. Na wote wanamchuna.
 
Lakini Pemba wengi wao wanakuwa wapo kwenye ndoa tayari
Yaani wanaingia kwenye ndoa katika umri mdogo
Tofauti Na hizo sehemu nyingine Ambapo wanazaa ovyo tu
Siku nyingine nitakuja na mada ya Unguja na Pemba.

Ndugu msomaji you will be shocked, kule kunq Single mazas wengi kuliko sehemu yotote duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…