Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
LiaKwaio nilie tu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LiaKwaio nilie tu sasa
kununuliwa mishkakiHivi kulea mimba huwa ni kuifanyaje? Si iko tumboni bado?
Daaah wacha nifanye ivo tu
Hivyo tu?kununuliwa mishkaki
Sasa hapo kale mtoto au Mwenye mimba?kununuliwa mishkaki
Ngoja nifkirie mengineHivyo tu?
Verysad, Tanzania inaendeshwa ki CCM sana.Niliwh kufanya intern moja kwenye NgO moja kubwa hapa Tz wale jamaa walikuwa wanawapa favour wtu wa tamisemi kupata credits na vipaumbele kwenye hao funders ikiwemo recommendations. Sijawahi kuona ujanja ujanja kama pale asee jamaa hawana wataalam kabisa yani. Mnaya zaid NgO ni ya afya lakin hakuna mtaalam wa afya ya jamii hata mmoja. Wamejazana watoto wa muhas tu
USAID waligomaga kutoa fund kwa sabab ya ukaribu wao na wafanyakazi wake. Fund inaombwa kama mtu anavyoomba maji ya kunywa
Tunakula woteSasa hapo kale mtoto au Mwenye mimba?
Aaah kabisa🤣Asanteee 🤣🤣🤣aaalaaaa muhimu uzima
Bado hujaanza tu?Daaah wacha nifanye ivo tu
Huko hawana mambo mengi wao ni kula, kulala siku ziende waendelee kuijaza duniaYaani 15 anakulazimisha abebe mimba? Kabla ya ndoa? Je anafikira atamleaje bila misingi yoyote ya kiuchumi?
Wanarahisisha sana maisha mwisho wa siku wanaishi kama jehanamu
Kwenye kuwa na watoto shida huwa sio umri bali shida ni ana chanzo kipi cha kiuchumi?.Mbona hata miaka 14 ni mtu mzima ..tuna danganya na wazungu kuhusu utoto...miaka 14 ni kijana mdogo anaelekea kuwa kijana kamili miaka 18
Lakini Pemba wengi wao wanakuwa wapo kwenye ndoa tayariHiyo hali ni Tanzania nzima neenda Simiyu unakuta bint miaka 17 tayari ni singo maza, neenda Mara bint miak15 tayari ana mimba, Pemba hali ni hiyo hiyo nk.
Tatizo ngozi nyeusi tuna laana ya familia ndiyo maana huwa atujali uchumi wa familia ...uchumi wa familia ndiyo nguzo ya familia ....hii ndiyo inasababisha kuwa ni ngumu sana familia za kiafrika kuwa tajiri na utajiri wao kuwa endelevu .Kwenye kuwa na watoto shida huwa sio umri bali shida ni ana chanzo kipi cha kiuchumi?.
Nini dada hata mtoto wanguAcha ujinga dogo.....dada yako unaweza ruhusu?
Tunywe mchuzi kwanza nyama zipo chini😂Walivyoenda kwenye mikutano ya PEPFAR na kusikia Zimbabwe inapongezwa kwa kufikia 95-95-95, ghafla Data za Tanzania zikaanza kusoma 95-95-95
Uchumi ni ngumu kama kijana wa miaka 25 tu tayari ana mademu watatu. Na wote wanamchuna.Tatizo ngozi nyeusi tuna laana ya familia ndiyo maana huwa atujali uchumi wa familia ...uchumi wa familia ndiyo nguzo ya familia ....hii ndiyo inasababisha kuwa ni ngumu sana familia za kiafrika kuwa tajiri na utajiri wao kuwa endelevu .
na ndipo wazazi na friends wataanza kumsimanga ni tasa hazaiRuangwa na lindi binti wa miaka 17 kama hajazaa anaanza kuwa na wasiwasi kuwa labda Hana kizazi
Siku nyingine nitakuja na mada ya Unguja na Pemba.Lakini Pemba wengi wao wanakuwa wapo kwenye ndoa tayari
Yaani wanaingia kwenye ndoa katika umri mdogo
Tofauti Na hizo sehemu nyingine Ambapo wanazaa ovyo tu