Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Niliwh kufanya intern moja kwenye NgO moja kubwa hapa Tz wale jamaa walikuwa wanawapa favour wtu wa tamisemi kupata credits na vipaumbele kwenye hao funders ikiwemo recommendations. Sijawahi kuona ujanja ujanja kama pale asee jamaa hawana wataalam kabisa yani. Mnaya zaid NgO ni ya afya lakin hakuna mtaalam wa afya ya jamii hata mmoja. Wamejazana watoto wa muhas tu
USAID waligomaga kutoa fund kwa sabab ya ukaribu wao na wafanyakazi wake. Fund inaombwa kama mtu anavyoomba maji ya kunywa
Verysad, Tanzania inaendeshwa ki CCM sana.
 
Kwenye kuwa na watoto shida huwa sio umri bali shida ni ana chanzo kipi cha kiuchumi?.
Tatizo ngozi nyeusi tuna laana ya familia ndiyo maana huwa atujali uchumi wa familia ...uchumi wa familia ndiyo nguzo ya familia ....hii ndiyo inasababisha kuwa ni ngumu sana familia za kiafrika kuwa tajiri na utajiri wao kuwa endelevu .
 
Uchumi ni ngumu kama kijana wa miaka 25 tu tayari ana mademu watatu. Na wote wanamchuna.
 
Lakini Pemba wengi wao wanakuwa wapo kwenye ndoa tayari
Yaani wanaingia kwenye ndoa katika umri mdogo
Tofauti Na hizo sehemu nyingine Ambapo wanazaa ovyo tu
Siku nyingine nitakuja na mada ya Unguja na Pemba.

Ndugu msomaji you will be shocked, kule kunq Single mazas wengi kuliko sehemu yotote duniani
 
Back
Top Bottom