Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Acha wazae ndo jambo waliloumbiwa. Hutak wazae unataka wafanye nini sasa..... Acha wazae tu.
 
Uchumi ni ngumu kama kijana wa miaka 25 tu tayari ana mademu watatu. Na wote wanamchuna.
Tatizo jingine ni watoto wanao zaliwa na ukimwi hao life time yao ya maisha ni tofauti na kawaida ya binadamu wengine... life time yao ni miaka 25 hadi 35 hivyo ni lazima wazae mapema hata miaka chini ya 18 maana wengi tu wanashindwa kuvuka umri wa miaka 20 wakiwa hai na wakivuka afya zao huwa siyo njema zenye kuwawezesha kuzaa...wengi wakifika huo umri wanakuwa nyaka nyaka hivyo wanacho fanya ni kuzaa mapema iwezekanavyo na familia nyingi huwa awanashida na watoto wao wadogo wenye HIV kuzaa mapema
 
Hii mpya kwenye ubongo wangu🙌🏾
 
Zaeni Elimu Ni Bure Ndugu
Hata China Na India Zimeendelea Kwa Idadi Ya Watu Wengi Sana
Nchi zilizoendelea ziliwekeza kwenye rasilimali watu wenzetu hawaamini Kuna mtu mjinga na ndio mana wamewekeza kwenye elimu sababu wanajua kila mtoto anayezaliwa anakuja duniani kufanya impact kubwa kwenye jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…