Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #141
HahahaHuko hawana mambo mengi wao ni kula, kulala siku ziende waendelee kuijaza dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaHuko hawana mambo mengi wao ni kula, kulala siku ziende waendelee kuijaza dunia
Si anawajukuu?Hii kitu kila mahali ipo,imagine mwanamke wa miaka 35 anaitwa bibi. Hii ni iringa
Tayar mkuuBado hujaanza tu?
Acha wazae ndo jambo waliloumbiwa. Hutak wazae unataka wafanye nini sasa..... Acha wazae tu.Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.
Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM.
Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha.
Kwanza sifa ya mkoa huu ni hii
1. Mkoa huu kwa kutazama tu( obervation) una Wanawake wachache kuliko wanaume. Yaani si ajabu ukitembea ukakutana na wanaume 20 na mwanamke mmoja au hakuna kabisa. Utasema labda wanawake wanashinda majumbani.
Ukienda majumbani unakuta wanaume 6 , mwanamke Mmoja tena Mke wa Baba Mwenye nyumba.
2. Kutokana na sababu hiyo namba 1, wanawake huku wana thamani kubwa sana. Nawaonea huruma wanaum3 wa huku.
3. Wanawake hao wachache waliopo asilimia 70-90% ni Single mazas.
4. Hao Single mazas ukiwaona unaungiwa na huruma, wamechoka balaa. Maisha magumu mno.
Ni kawaida kukutana na wanawake umri kati ya 17 hadi 30 wakiwa kundi la watu 10-15 wote wamebeba watoto wachanga
Hali ni mbaya sana. Wanawake hawafurahii maisha ya ujana wao. At her 20yrs tayari ana watoto watatu, ameachwa, ana madeni.
Something has to be done aisee.
Matokeo ya kuzaa ndio mabayaAcha wazae ndo jambo waliloumbiwa. Hutak wazae unataka wafanye nini sasa..... Acha wazae tu.
kazi kutupangia matumizi ya vizazi vyetu😂Aaah kabisa🤣
Acha wazae. Watoto ni baraka si kharamuMatokeo ya kuzaa ndio mabaya
Hahaha... ..sasa mnachoka sana na kuanza kutupiga vibomu sisi tusiohusikakazi kutupangia matumizi ya vizazi vyetu😂
Tatizo jingine ni watoto wanao zaliwa na ukimwi hao life time yao ya maisha ni tofauti na kawaida ya binadamu wengine... life time yao ni miaka 25 hadi 35 hivyo ni lazima wazae mapema hata miaka chini ya 18 maana wengi tu wanashindwa kuvuka umri wa miaka 20 wakiwa hai na wakivuka afya zao huwa siyo njema zenye kuwawezesha kuzaa...wengi wakifika huo umri wanakuwa nyaka nyaka hivyo wanacho fanya ni kuzaa mapema iwezekanavyo na familia nyingi huwa awanashida na watoto wao wadogo wenye HIV kuzaa mapemaUchumi ni ngumu kama kijana wa miaka 25 tu tayari ana mademu watatu. Na wote wanamchuna.
depression mkuu kuna mda inatupandaHahaha... ..sasa mnachoka sana na kuanza kutupiga vibomu sisi tusiohusika
Hii mpya kwenye ubongo wangu🙌🏾Tatizo jingine ni watoto wanao zaliwa na ukimwi hao.life time yao ya maisha ni tofauti na kawaida ya binadamu wengi life time yao ni miaka 25 hadi 35 hivyo ni lazima wazae mapema hata miaka chini ya 18 maana wengi tu wanashindwa kuvuka umri wa miaka 20 wakiwa na afya njema yenye kuwawezesha kuzaa...wengi wakifika huo umri wanakuwa nyaka nyaka hivyo wanacho fanya ni kuzaa mapema iwezekanavyo na familia nyingi huwa awanashida na watoto wao wadogo wenye HIVkuzaa mapema
Lakini mtoto wa kike wa umri huo tayari ni mkubwa na wala haifai kumhurumia kwenye kitu ambacho anakifanya kwa starehe. Mwache aone kunoga kama ni kuteseka ni juu yake.Ni kawaida kukutana na wanawake umri kati ya 17 hadi 30 wakiwa kundi la watu 10-15 wote wamebeba watoto wachanga
Wanaibebesha Serikali na chama mzigo mkubwa usio wa lazima.Lakini mtoto wa kike wa umri huo tayari ni mkubwa na wala haifai kumhurumia kwenye kitu ambacho anakifanya kwa starehe. Mwache aone kunoga kama ni kuteseka ni juu yake.
Sijui wanajifunzia wapi huu uhuni ngonoWamakonde wanapenda kuzaa wakiwa wadogo sana ,kuna kabinti ka kimakonde nakajua kalizaa kakiwa na umri wa miaka 14.
Sijui wanajifunzia wapi huu uhuni ngono
Nchi zilizoendelea ziliwekeza kwenye rasilimali watu wenzetu hawaamini Kuna mtu mjinga na ndio mana wamewekeza kwenye elimu sababu wanajua kila mtoto anayezaliwa anakuja duniani kufanya impact kubwa kwenye jamiiZaeni Elimu Ni Bure Ndugu
Hata China Na India Zimeendelea Kwa Idadi Ya Watu Wengi Sana
Kazi anaweza ya ku like yaaani, unaweza sema ni koment sasa saba usiku ile hujamaliza 😁😁 ye kesha like!!Kijana wangu huyo raraa reree ni specialised liker. Nimemtuma kupeleka parcel shekilango mpaka muda huu hajafika kumbe kajibanza sehem anaingia jamii forums
Pemba wanazaa sana, na wapemba wana serial marriage sana. Mtu kuachika na kuolewa tena ndo nyingi kulSiku nyingine nitakuja na mada ya Unguja na Pemba.
Ndugu msomaji you will be shocked, kule kunq Single mazas wengi kuliko sehemu yotote duniani