Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.

Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM.

Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha.

Kwanza sifa ya mkoa huu ni hii

1. Mkoa huu kwa kutazama tu( obervation) una Wanawake wachache kuliko wanaume. Yaani si ajabu ukitembea ukakutana na wanaume 20 na mwanamke mmoja au hakuna kabisa. Utasema labda wanawake wanashinda majumbani.

Ukienda majumbani unakuta wanaume 6 , mwanamke Mmoja tena Mke wa Baba Mwenye nyumba.

2. Kutokana na sababu hiyo namba 1, wanawake huku wana thamani kubwa sana. Nawaonea huruma wanaum3 wa huku.

3. Wanawake hao wachache waliopo asilimia 70-90% ni Single mazas.
4. Hao Single mazas ukiwaona unaungiwa na huruma, wamechoka balaa. Maisha magumu mno.

Ni kawaida kukutana na wanawake umri kati ya 17 hadi 30 wakiwa kundi la watu 10-15 wote wamebeba watoto wachanga

Hali ni mbaya sana. Wanawake hawafurahii maisha ya ujana wao. At her 20yrs tayari ana watoto watatu, ameachwa, ana madeni.

Something has to be done aisee.
Acha wazae ndo jambo waliloumbiwa. Hutak wazae unataka wafanye nini sasa..... Acha wazae tu.
 
Uchumi ni ngumu kama kijana wa miaka 25 tu tayari ana mademu watatu. Na wote wanamchuna.
Tatizo jingine ni watoto wanao zaliwa na ukimwi hao life time yao ya maisha ni tofauti na kawaida ya binadamu wengine... life time yao ni miaka 25 hadi 35 hivyo ni lazima wazae mapema hata miaka chini ya 18 maana wengi tu wanashindwa kuvuka umri wa miaka 20 wakiwa hai na wakivuka afya zao huwa siyo njema zenye kuwawezesha kuzaa...wengi wakifika huo umri wanakuwa nyaka nyaka hivyo wanacho fanya ni kuzaa mapema iwezekanavyo na familia nyingi huwa awanashida na watoto wao wadogo wenye HIV kuzaa mapema
 
Tatizo jingine ni watoto wanao zaliwa na ukimwi hao.life time yao ya maisha ni tofauti na kawaida ya binadamu wengi life time yao ni miaka 25 hadi 35 hivyo ni lazima wazae mapema hata miaka chini ya 18 maana wengi tu wanashindwa kuvuka umri wa miaka 20 wakiwa na afya njema yenye kuwawezesha kuzaa...wengi wakifika huo umri wanakuwa nyaka nyaka hivyo wanacho fanya ni kuzaa mapema iwezekanavyo na familia nyingi huwa awanashida na watoto wao wadogo wenye HIVkuzaa mapema
Hii mpya kwenye ubongo wangu🙌🏾
 
Zaeni Elimu Ni Bure Ndugu
Hata China Na India Zimeendelea Kwa Idadi Ya Watu Wengi Sana
Nchi zilizoendelea ziliwekeza kwenye rasilimali watu wenzetu hawaamini Kuna mtu mjinga na ndio mana wamewekeza kwenye elimu sababu wanajua kila mtoto anayezaliwa anakuja duniani kufanya impact kubwa kwenye jamii
 
Back
Top Bottom