Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibj ulichoelewa,nilichoandikqSijui umeelewa kilichoandikwa?
Mbona kama mtizamo wako ni biased? Kama alibwaka sawa ila kama alikwenda mwenyewe usitupie lawama sehemu moja .Inaonekana Watz tunawaza ngono kila wakati.
Haiwezekani mimi mpaka roho inaniuma nani anawapanda hawa wanawake? Kwanini sisi wanaume tunawaharibia Future zao?
Ukitoa Arusha na Kilimanjaro,jamii nyingine ndani ndani huko kumechoka saaaaanaMwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.
Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM.
Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha.
Kwanza sifa ya mkoa huu ni hii
1. Mkoa huu kwa kutazama tu( obervation) una Wanawake wachache kuliko wanaume. Yaani si ajabu ukitembea ukakutana na wanaume 20 na mwanamke mmoja au hakuna kabisa. Utasema labda wanawake wanashinda majumbani.
Ukienda majumbani unakuta wanaume 6 , mwanamke Mmoja tena Mke wa Baba Mwenye nyumba.
2. Kutokana na sababu hiyo namba 1, wanawake huku wana thamani kubwa sana. Nawaonea huruma wanaum3 wa huku.
3. Wanawake hao wachache waliopo asilimia 70-90% ni Single mazas.
4. Hao Single mazas ukiwaona unaungiwa na huruma, wamechoka balaa. Maisha magumu mno.
Ni kawaida kukutana na wanawake umri kati ya 17 hadi 30 wakiwa kundi la watu 10-15 wote wamebeba watoto wachanga
Hali ni mbaya sana. Wanawake hawafurahii maisha ya ujana wao. At her 20yrs tayari ana watoto watatu, ameachwa, ana madeni.
Something has to be done aisee.
Tofauti ya wao na sisi ni kipato. At 17 mtoto ameshaanza kuondoka nyumbani na kuwa na kipato ambacho ni sustainable, mtu ana career, ana kwake ana usafiri hata kama wa kawaida. Miaka 25-30 wanatafuta kukuza career au kubadili kabisa.Na wazungu wako hivo hivo hususani wingereza wanazaa mapema akifika 23yrs tayari hataki ndoa anataka kutalii tu.
Yaani taifa liangamie kwa watu kuzaana?Huko kusini wanamuiga mtume mhamadi alioa kabinti ka miaka tisa Kwa mujibu wa maandiko Yao wanavyosema.ukichanganya na ukosefu wa elimu ndiyo hupelekea watu wa huko kuzaa wakiwa watoto
Ni kweli na mimi nilitaka kusema hivyo hivyo kule wanazaa mapema lakini hawazai watotoWatoto wanautaka wenyewe...Huku Kusini sasa kama hujui watu hawazai watoto wengi ila Wanawake wanazaa mapema...akishakuwa na mtoto Mmoja basi hazai na wala haolewi...ndio muda wa kupiga show za Ndondo
Ni katika mazingira gan hasa hii hali ni serious? Rural context au urban slums?. Suluhu hapo ni kuongeza mikakati wezeshi kwa vijana mana iliyopo haitoshi na nina uhakika hili tatizo limefungamana na umaskini. Na kwa kawaida tatizo lolote likifungamana na umaskin haliomdoki mpaka umaskini uondoke (Norcela & Jamrozik 1998)Tanzania mzima hali ni hiyo hiyo aisee
Hao mbona wameelimika sana. Seems haujatembea vya kutosha katika hiyo nchi .Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.
Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM.
Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha.
Kwanza sifa ya mkoa huu ni hii
1. Mkoa huu kwa kutazama tu( obervation) una Wanawake wachache kuliko wanaume. Yaani si ajabu ukitembea ukakutana na wanaume 20 na mwanamke mmoja au hakuna kabisa. Utasema labda wanawake wanashinda majumbani.
Ukienda majumbani unakuta wanaume 6 , mwanamke Mmoja tena Mke wa Baba Mwenye nyumba.
2. Kutokana na sababu hiyo namba 1, wanawake huku wana thamani kubwa sana. Nawaonea huruma wanaum3 wa huku.
3. Wanawake hao wachache waliopo asilimia 70-90% ni Single mazas.
4. Hao Single mazas ukiwaona unaungiwa na huruma, wamechoka balaa. Maisha magumu mno.
Ni kawaida kukutana na wanawake umri kati ya 17 hadi 30 wakiwa kundi la watu 10-15 wote wamebeba watoto wachanga
Hali ni mbaya sana. Wanawake hawafurahii maisha ya ujana wao. At her 20yrs tayari ana watoto watatu, ameachwa, ana madeni.
Something has to be done aisee.
Ukitoa Arusha na Kilimanjaro,jamii nyingine ndani ndani huko kumechoka saaaaana
Elimu inahitajika
Fanya utafiti wako vizuri,hii hali ya wasichana kuzalishwa ovyo kwa sasa ni karibu nchi nzima,na nina mashaka sana na hizi takwimu za Ukimwi za mwaka huu kama sio za kupika,zinaa inafanywa hovyo sana siku hizi na watu hawajali...Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.
Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM.
Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha.
Kwanza sifa ya mkoa huu ni hii
1. Mkoa huu kwa kutazama tu( obervation) una Wanawake wachache kuliko wanaume. Yaani si ajabu ukitembea ukakutana na wanaume 20 na mwanamke mmoja au hakuna kabisa. Utasema labda wanawake wanashinda majumbani.
Ukienda majumbani unakuta wanaume 6 , mwanamke Mmoja tena Mke wa Baba Mwenye nyumba.
2. Kutokana na sababu hiyo namba 1, wanawake huku wana thamani kubwa sana. Nawaonea huruma wanaum3 wa huku.
3. Wanawake hao wachache waliopo asilimia 70-90% ni Single mazas.
4. Hao Single mazas ukiwaona unaungiwa na huruma, wamechoka balaa. Maisha magumu mno.
Ni kawaida kukutana na wanawake umri kati ya 17 hadi 30 wakiwa kundi la watu 10-15 wote wamebeba watoto wachanga
Hali ni mbaya sana. Wanawake hawafurahii maisha ya ujana wao. At her 20yrs tayari ana watoto watatu, ameachwa, ana madeni.
Something has to be done aisee.
Utawala ndo shida na raia wamebweteka kwahiyo no body to blameTofauti ya wao na sisi ni kipato. At 17 mtoto ameshaanza kuondoka nyumbani na kuwa na kipato ambacho ni sustainable, mtu ana career, ana kwake ana usafiri hata kama wa kawaida. Miaka 25-30 wanatafuta kukuza career au kubadili kabisa.
Njoo huku, miaka 27 watu wengi tu bado maisha hayaeleweki sembuse mtu awe mzazi na aweze kulea, kulipa ada etc [emoji28]
MnyaturuKwq nn tuitoe mikoa ya arusha na kilimanjaro Masawe?
Ntafutie pisi Moja ilotulia nije niistiri😶😶Wa
po
mapenz ya kweli tukose na watoto nao wajameni,, hakika nna zaa tena kwa fujo nnao wa 3 hadi sasa na nna mimba nyingine na sijaolewa,, muhimu uzima🤣🤣Taifa la single mamaz linazidi kushamiri
Takwimu za kukabidhi WafadhiliFanya utafiti wako vizuri,hii hali ya wasichana kuzalishwa ovyo kwa sasa ni karibu nchi nzima,na nina mashaka sana na hizi takwimu za Ukimwi za mwaka huu kama sio za kupika,zinaa inafanywa hovyo sana siku hizi na watu hawajali...
Hahahmapenz ya kweli tukose na watoto nao wajameni,, hakika nna zaa tena kwa fujo nnao wa 3 hadi sasa na nna mimba nyingine na sijaolewa,, muhimu uzima🤣🤣
Ila kweli sio vizuri kukosa vyotemapenz ya kweli tukose na watoto nao wajameni,, hakika nna zaa tena kwa fujo nnao wa 3 hadi sasa na nna mimba nyingine na sijaolewa,, muhimu uzima🤣🤣