mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
mbona huku nasikia tatizo sio single mazas ila tu ke wao wanaolewa mapema (wakiwa bado wadogo)Siku nyingine nitakuja na mada ya Unguja na Pemba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona huku nasikia tatizo sio single mazas ila tu ke wao wanaolewa mapema (wakiwa bado wadogo)Siku nyingine nitakuja na mada ya Unguja na Pemba.
Mapori yana watu hayo na mingine ni kwa ajili ya wanyamapori, mashamba na mifugo.Tanzania Zaeni Nchi Hii Kubwa Kuna Mapori Mengi
ni wapi ukuMkuu aende na isimikinyi kabisa
sasa km mtoto mwenyewe kautaka itakuwajeNa nyie wanaume badilikeni hizo nyege mishindo mzitafutie sehemu za kuzipeleka..unaona kabisa binti mdogo lakini upo..swainii...
Ukipita nyororo kwa mbele, ukifika mbalamaziwa unaingia ndani ndani hukoni wapi uku
"mtoto"sasa km mtoto mwenyewe kautaka itakuwaje
madogo wanapenda pochi nene wanapenda mb0.0 nene😂wanaona mamazao wanafaudu"mtoto"
Kumradhi,Wamakonde wanapenda kuzaa wakiwa wadogo sana ,kuna kabinti ka kimakonde nakajua kalizaa kakiwa na umri wa miaka 14.
Tuwaige WachinaKumradhi,
wengine mngejaribu kufanya utafiti kwenye familia zenu mngekuja kugungua kama haya ambayo kuna baadhi ya watu wasio na kazi wanayakemea. Chukua umri wa Mama toa umri wako halafu uje utuambie hapa Mama yako alikuzaa akiwa na miaka mingapi?
Kuna mifumo mingine tunaishupalia tu kwasababu wazungu wanataka hivi na sio vile.
Kumradhi,

Kusini hakuna pisi kali km za Singida. wakusini shepu za km wamepigwa vitofali.Sasa wale si wanasifika Kwa uzuri lakini au ?!!!
UONGOTaifa linastawi Kwa kuzaana.
Kwani shida nini? Kinachotakiwa mtoto atoke kwenye fuko la uzazi tu. Kitu cha msingi ni kuziba mianya ya vibinti kuanza mapenzi mapema (kabla Ya ndoa)Binti yako akizaa na miaka 14 ni sawa?
Ulitaka Azae akifikisha miaka 40?Binti yako akizaa na miaka 14 ni sawa?
Huna akiliUlitaka Azae akifikisha miaka 40?
Nchi zingine watu wanabembelezwa Hadi wanalipwa wazae,H
Huna akili
Una binti wa miaka 14 nije nioe?Nchi zingine watu wanabembelezwa Hadi wanalipwa wazae,
Wewe unakumbatia Ujinga.
Muhimu huduma za AFYA ziwe vizuri, malezi yawe murua, watafutiwe miradi ktk vikundi wazalishe Mali.
Mimi mtu alizaa asione shaka, amefanya jambo jema. Abarikiwe
Miaka ya 85 kurudi chini, ilikuwa Haiwezekani kukuta Binti mwenye miaka 17 ana ujauzito,Una binti wa miaka 14 nije nioe?