Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

Wamakonde wanapenda kuzaa wakiwa wadogo sana ,kuna kabinti ka kimakonde nakajua kalizaa kakiwa na umri wa miaka 14.
Kumradhi,
wengine mngejaribu kufanya utafiti kwenye familia zenu mngekuja kugungua kama haya ambayo kuna baadhi ya watu wasio na kazi wanayakemea. Chukua umri wa Mama toa umri wako halafu uje utuambie hapa Mama yako alikuzaa akiwa na miaka mingapi?

Kuna mifumo mingine tunaishupalia tu kwasababu wazungu wanataka hivi na sio vile.
 
Tuwaige Wachina
 
Binti yako akizaa na miaka 14 ni sawa?
Kumradhi,
wengine mngejaribu kufanya utafiti kwenye familia zenu mngekuja kugungua kama haya ambayo kuna baadhi ya watu wasio na kazi wanayakemea. Chukua umri wa Mama toa umri wako halafu uje utuambie hapa Mama yako alikuzaa akiwa na miaka mingapi?

Kuna mifumo mingine tunaishupalia tu kwasababu wazungu wanataka hivi na sio vile.
 
H

Huna akili
Nchi zingine watu wanabembelezwa Hadi wanalipwa wazae,

Wewe unakumbatia Ujinga.

Muhimu huduma za AFYA ziwe vizuri, malezi yawe murua, watafutiwe miradi ktk vikundi wazalishe Mali.

Mimi mtu alizaa asione shaka, amefanya jambo jema. Abarikiwe
 
Una binti wa miaka 14 nije nioe?
 
Una binti wa miaka 14 nije nioe?
Miaka ya 85 kurudi chini, ilikuwa Haiwezekani kukuta Binti mwenye miaka 17 ana ujauzito,

Hivyo unapaswa kujiuliza kwann sasa Binti mwenye miaka Hadi 8 anapata ujauzito!

Mambo yameshaharibika sana, ukisubiri miaka 35 unaelekea ugumba na ukomo wa kuzaa.

Ikiwa una Binti amezaa na miaka 14, mshukuru Mungu, ikibidi uniletee nimlee.
 
Back
Top Bottom