Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Mapokezi makubwa na ya kipekeee aliyoyapata mkoani Mbeya yameonesha namna watu walivyo na Imani na uongozi wa mama Samia, kazi kubwa na utumishi wa kutukuka unaofanywa na mh Rais imekuwa Chachu na sababu ya kupendwa kwake na watanzania wazalendo. kuchipuka kwa miradi ya maendeleo kila mkoa bila ubaguzi kumewagusa Sana wananchi, mama ameleta utulivu mkubwa Sana hapa nchini, watu wapo huru kufanya shughuli zao kwa amani na utulivu bila bugudha Wala uonevu, hakuna anayesumbuliwa Wala kuonewa , nchi Ina amani, watu wote wanajiona Wana nafasi sawa katika ujenzi wa Taifa hili, hakuna Anaye achwa nyuma kwa Sasa, kila mtu anasikilizwa sauti yake, hakuna anayezulumiwa haki ya kusikilizwa, hakuna Anaye umizwa kwa kusema na kushauri ukweli, watanzania wanajiona wanaweza wakajenga nchi yao na kufaidika na matunda yake , Asanteeeeeee sanaaa mama yangu mh Mama Samia suluhu Hassan, karibu mkoani Songwe