Kwa kuwa nchi ina wakristo wengi basi ndoa nyingi huwa zinategemewa kuwa za kiksto, kupungua kwa kasi ya kuoa kumelenga zaidi kwa vijana wa kikristo.
Ndoa za kiislam na kitamaduni vijana wanaendelea kuoa kama kawaida,
Wengi wanatumia kisingizio cha majukumu lakini hakuna ukweli, kuna vijana wengi wapo 35+ wana kazi zao nzuri au biashara zao lakini hawataki kabisa kusikia suala la ndoa, wana wanawake wanaoishi nao bila ndoa, wana watoto wanaowasomesha shule nzuri lakini hawataki kabisa kusikia ishu ya ndoa
Ukweli ni kwamba kuoa wanawake wa sasa kwa ndoa ya kikristo ni kujipinga kitanzi !!!!